Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wali
Walichofanywa juzi hapo:
View: https://x.com/fbuyobe/status/1802948524423664107?t=Y_05R1YTZkXFIXuKsab66w&s=19
Uko sahihi sana. Hili linasemwa hata na askari wetu waliofanya tour ktk mission za Congo. Wanasema UN wanaiba lakini wao wanakatazwa na makamanda hata kuchukua au kutoka na dhahabu hata jiwe moja dogo. Na ndiyo maisha yao. JW hawaibi madini. Sasa kwa.mpango uliousema maana yake tutalipwa na Congo na hatutakuwa chini ya mwavuli wa UN au majeshi ya AU.Nimesoma mada na nimejaribu kusoma post nyingi, Kama sio zote na nimeamua kidogo niandike!
Kushinda pambano 'winning a battle' sio mkakati..ni mkakati yes lakini, winning a war ni mkakati zaidi, lakini hata huo sio mkakati....spoils of the war ndio mkakati..
Yaani kugawana kile kinachotokana na vita..
Kuna mifano alfu lela hulela ningeweza kuleta hapa ..
Lakini, vividly, kwa muonekano tu, either hatuna conclusive plan na action za TPDF Congo au hatuna foreign policy, specifically focused on Congo.
Kidogo naijua TPDF na action zake all around...
Ila kwa Congo, kwanini hatushindi vita?
Kuna Brigedia anataja humu Sana, alipiga Sana ni kweli.. na Mimi nilienda kipindi hicho eastern Congo Kama mtalii, kweli alipiga..
Lakini matokeo yake yalikuwa nini?
Siwezi kisema kila kitu hapa ila kwa Congo tujitafakari
Binafsi nashauri!
Tusipigane tu! Tupigane ila baada ya mapigano tuwe na control na maeneo tulioyachukua..
Tuwe na watu wanaya 'police'..
Tuicomboe Congo, of which tunaweza tukiingia kwenye good deals na Congo na UN
Tupeleke vijana waelekeze jinsi ya kuweka usalama.
Tukae Congo Kama miaka ishirini halafu tutoke...
Watakua taifa na tutakuwa na faida..
Kupanga ni kuchagua,
Kudeal na Mr. Slim na M7
Au kuwakacha kimkakati na kuangalia picha kubwa!!
Umenipata vyema. Tukae chini tutengeneze specific strategy na policy kwaajili ya Congo. Tukae pia na Belgium, ambaye ndio mnufaika mkubwa wa hii vita tumwonyeshe wazi kuwa anaweza kuendelea kupata supply ya hayo madini na amani ikawepo Congo. Tukiamua naamini ndani ya muda mfupi pale patatulia.Uko sahihi sana. Hili linasemwa hata na askari wetu waliofanya tour ktk mission za Congo. Wanasema UN wanaiba lakini wao wanakatazwa na makamanda hata kuchukua au kutoka na dhahabu hata jiwe moja dogo. Na ndiyo maisha yao. JW hawaibi madini. Sasa kwa.mpango uliousema maana yake tutalipwa na Congo na hatutakuwa chini ya mwavuli wa UN au majeshi ya AU.
Naona jeshi letu lipo ktk ukombozi zaidi kuliko manufaa lakini hii ndiyo njia ya majeshi yote ya kisasa duniani. Rwanda atafanya hivyo huko Central Africa, Mozambique na hata hapo Kongo kwa njia ya M23Umenipata vyema. Tukae chini tutengeneze specific strategy na policy kwaajili ya Congo. Tukae pia na Belgium, ambaye ndio mnufaika mkubwa wa hii vita tumwonyeshe wazi kuwa anaweza kuendelea kupata supply ya hayo madini na amani ikawepo Congo. Tukiamua naamini ndani ya muda mfupi pale patatulia.
Tupeleke manpower ya kutosha, CCP pale vijana wachemshe miguu wengi waondoke huko mitaani. JW wakiwatoa waasi eneo tunajaza askari wa kawaida, tunaweka vituo vya polisi, wanahakikisha maisha ya raia yanakuwa smooth.
Unajua shida ni kutoa watu eneo halafu ukaliacha tupu bila uongozi..
Unaposonga kwenye maeneo mengine huku nyuma cells za adui zinarudi kujipanga.
Tutengeneze structure ambayo baadae tutakuja kuwarithisha wakongo wenyewe.
Nakuhakikishia tukifanya hivi, Tanzania itakuwa tajiri soon enough
Wanataka wakimbizwe kama kukuTPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Kwanza hizo policies na strategies sio kazi ya Jeshi.. ni kazi wa wizara husika na serikali.Naona jeshi letu lipo ktk ukombozi zaidi kuliko manufaa lakini hii ndiyo njia ya majeshi yote ya kisasa duniani. Rwanda atafanya hivyo huko Central Africa, Mozambique na hata hapo Kongo kwa njia ya M23
Hatar inakujaNgoja tuone watafanya nini.
Pointi za kutosha ila vichwa panzi humu wengi hawatokuelewaNimesoma mada na nimejaribu kusoma post nyingi, Kama sio zote na nimeamua kidogo niandike!
Kushinda pambano 'winning a battle' sio mkakati..ni mkakati yes lakini, winning a war ni mkakati zaidi, lakini hata huo sio mkakati....spoils of the war ndio mkakati..
Yaani kugawana kile kinachotokana na vita..
Kuna mifano alfu lela hulela ningeweza kuleta hapa ..
Lakini, vividly, kwa muonekano tu, either hatuna conclusive plan na action za TPDF Congo au hatuna foreign policy, specifically focused on Congo.
Kidogo naijua TPDF na action zake all around...
Ila kwa Congo, kwanini hatushindi vita?
Kuna Brigedia anataja humu Sana, alipiga Sana ni kweli.. na Mimi nilienda kipindi hicho eastern Congo Kama mtalii, kweli alipiga..
Lakini matokeo yake yalikuwa nini?
Siwezi kisema kila kitu hapa ila kwa Congo tujitafakari
Binafsi nashauri!
Tusipigane tu! Tupigane ila baada ya mapigano tuwe na control na maeneo tulioyachukua..
Tuwe na watu wanaya 'police'..
Tuicomboe Congo, of which tunaweza tukiingia kwenye good deals na Congo na UN
Tupeleke vijana waelekeze jinsi ya kuweka usalama.
Tukae Congo Kama miaka ishirini halafu tutoke...
Watakua taifa na tutakuwa na faida..
Kupanga ni kuchagua,
Kudeal na Mr. Slim na M7
Au kuwakacha kimkakati na kuangalia picha kubwa!!
M23 hawana lolote wapigwe na wameuwawa haswaView attachment 2893231
TAFSIRI KWA KISWAHILI
Sisi M23 tunaidhinisha kwamba, tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukanda wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu yenye Jeshi la wananchi wa Tanzania.
Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) inayolipua na kuua raia wema wa maeneo yetu, wanaofanya haya ni wanajeshi kutoka Tanzania.
View attachment 2893565
View attachment 2893551
Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanajeshi wanaotushambilia (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
Immaturity one’s commentingPelekeni moto week 3 fungeni hesabu kabidhi maeneo kwa Serikali ya DRC chap chap
Next time usikurupukeM23 hawana lolote wapigwe na wameuwawa haswa
Hizo ndoto tu. Aliejiamini kupiga kunguru aliondoka kwa mbwembwe,kwa ndege. Alirudije?Wachapwe kile kipigo cha Amini.
Nshaoa Mkuu! Tembeza Mix by Yass yako kwinginekoImmaturity one’s commenting