M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Hakika japo watu wengi wanailaumuile harakati ya jk wa kwanza ila ilituimarisha sana kiulinzi na usalama. Maana tulijua nikipi Cha kufanya na kipi so Cha kufanya.

Hivyo ilisaidia kujenga Dora imara ya ulinzi na usalama ambayo inakuwa complicated kuintergrade.

Tulikuw tunashindana na mataifa makubwa mara kadhaa yetu pia yenye uchumi na silaha Kali kutuzidi.

Hivyo ilisaidia kujijenga na kujua mbinu za kumshinda adui wa mwituni, mjini, mwenye nguvu na adui aliye ndani yenu.

JWTZ/TISS. Stay away from this organizations.
Which organisations, hujaeleweka mkuu.
 
Watu aina ya General Mwakibolwa ndio tafsir halisi ya kamanda, sio makamanda wengine unaanza kazi mpaka unastaafu litambi kama pipa hujawahi ongoza operation yyte.
Mwakibolwa alikuwa kamanda mtemi sana. Tanzania tunahitaji akina Mwakibolwa wengi sana jeshini kwetu.

General Mwakibolwa aliporudi alipandishwa kuwa Chief of Staff, na wakati anastaafu nafasi yake ilichukuliwa na General Mohammed ambaye sasa ni Balozi wa Uturuki. Katika kumuasa Mohammed, alimwambia mbele hya Magufuli kuwa "Nakujua wewe ni mtu mpole sana, ila sasa kwa nafasi hii uliyopo kama Cheif of Staff unatakiwa ume mkali, siyo kumbembeleza mtu yeyote. Viongozi wote pamoja Magufuli waliangua kicheko sana. Msikilize hapa kuazia dakika ya 35:30

View: https://www.youtube.com/watch?v=uhKcYlFVN_w
 
Among the successful battles of all the times ile commission ya mwaka 2013 chini ya Mwakiborwa huko Kivu ilikuwa balaa...kumbuka Rais ni Kikwete na ana bifu na Kagame halafu kazi kapewa Mzalendo wa Kinyakyusa ktk hiyo commission hapo hapo kuna hasira za OP Kimbunga aseee kuna jamaa alinihadithia wa JW anasema zilipigwa bomu hatari huko msituni.

Maana South Africa pamoja na vifaa vyao vya kisasa walikataa ( ogopa) kwenda front msituni wakawa wanatoa air support when needed sasa kwa Misitu ya Kongo air support haina issue JW ilikuwa balaaaaa...
Hivi Mwakiborwa alistaaf au yuko Ngome maana M23 wakisikia jina yake wanatafuta chaka
Sasa yote hayo mkuu umeyaelezea hilo la kujua kustaafu Mwakibolwa imeshindikana? Okay alistaafu akiwa Luteni Jenerali na akiwa Mnadhimu mkuu wa jeshi.
 
Sasa yote hayo mkuu umeyaelezea hilo la kujua kustaafu Mwakibolwa imeshindikana? Okay alistaafu akiwa Luteni Jenerali na akiwa Mnadhimu mkuu wa jeshi.
You are very clever, nafahamu alistaafu ila kuna kitu nilitaka kukichokoza hapa jukwaani. Nilidhani, Mwakiborwa pamoja na kustaafu anaweza kuwa kwa namna moja ama nyingine kuwepo jeshini kipindi hiki cha mission kufanya consultation ktk hii mission hivyo nilitaka mtu anidhibitishie.

Ni kweli afande alistaafu ila
tulitarajia angepanda cheo na kuhudumu sana jeshini lakini haikuwa hivyo nafkiri umri ulimtupa. Na JPM bila hiyana akaridhia astaafu.
 
Nimesoma mada na nimejaribu kusoma post nyingi, Kama sio zote na nimeamua kidogo niandike!

Kushinda pambano 'winning a battle' sio mkakati..ni mkakati yes lakini, winning a war ni mkakati zaidi, lakini hata huo sio mkakati....spoils of the war ndio mkakati..
Yaani kugawana kile kinachotokana na vita..
Kuna mifano alfu lela hulela ningeweza kuleta hapa ..

Lakini, vividly, kwa muonekano tu, either hatuna conclusive plan na action za TPDF Congo au hatuna foreign policy, specifically focused on Congo.
Kidogo naijua TPDF na action zake all around...

Ila kwa Congo, kwanini hatushindi vita?
Kuna Brigedia anataja humu Sana, alipiga Sana ni kweli.. na Mimi nilienda kipindi hicho eastern Congo Kama mtalii, kweli alipiga..

Lakini matokeo yake yalikuwa nini?
Siwezi kisema kila kitu hapa ila kwa Congo tujitafakari

Binafsi nashauri!
Tusipigane tu! Tupigane ila baada ya mapigano tuwe na control na maeneo tulioyachukua..
Tuwe na watu wanaya 'police'..

Tuicomboe Congo, of which tunaweza tukiingia kwenye good deals na Congo na UN

Tupeleke vijana waelekeze jinsi ya kuweka usalama.
Tukae Congo Kama miaka ishirini halafu tutoke...
Watakua taifa na tutakuwa na faida..

Kupanga ni kuchagua,
Kudeal na Mr. Slim na M7
Au kuwakacha kimkakati na kuangalia picha kubwa!!
 
Nakupongeza, komenti yako imeniongezea kitu. Inaonekana Utalii ulioufanya uliufanya kwa umakini mkubwa.
 
Thubutu, FARDC, FDRL, WAGNER, MAIMAI, Burundian Forces, Black water na SADC hoi bin taaban 😀. Number M ya leo ni moto wa kuotea mbali.
We jidanganye,hao M23 wameuawa wengi tu hadi sasa.
Na pona pona yao ni kwamba wanaoratibu shughuli za peacekeeping hapo bado ni hao jeshi la UNAMID,ila hao wakiondoka mamlaka yote yakabaki kwa SAMIDRC mtaelewa kuwa hamuelewi.
Tulieni mlelewe kipindi hiki mpaka hilo jeshi la UN liki withdraw.
Halafu muwashiwe moto wa ushuzi/gesi.
 
Wali

Walichofanywa juzi hapo:

View: https://x.com/fbuyobe/status/1802948524423664107?t=Y_05R1YTZkXFIXuKsab66w&s=19
 
Back
Top Bottom