M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Katika vitu ambavyo kagame na m23 yake hawakitaki kiwepo congo,ni tpdf,tpdf wanajua kubonda bana!!..ile 2013 m23 hawakuwahi kujua Kama makombora huwa yanapigwa vile,yaani heavy,muda wote,hakuna muda wa kula
Among the successful battles of all the times ile commission ya mwaka 2013 chini ya Mwakiborwa huko Kivu ilikuwa balaa...kumbuka Rais ni Kikwete na ana bifu na Kagame halafu kazi kapewa Mzalendo wa Kinyakyusa ktk hiyo commission hapo hapo kuna hasira za OP Kimbunga aseee kuna jamaa alinihadithia wa JW anasema zilipigwa bomu hatari huko msituni.

Maana South Africa pamoja na vifaa vyao vya kisasa walikataa ( ogopa) kwenda front msituni wakawa wanatoa air support when needed sasa kwa Misitu ya Kongo air support haina issue JW ilikuwa balaaaaa...
Hivi Mwakiborwa alistaaf au yuko Ngome maana M23 wakisikia jina yake wanatafuta chaka
 
Kastaafu
 
Watu aina ya General Mwakibolwa ndio tafsir halisi ya kamanda, sio makamanda wengine unaanza kazi mpaka unastaafu litambi kama pipa hujawahi ongoza operation yyte.
 
Majeshi ya Congo DR ni TAKATAKA, JWTZ walishasafisha eneo hilo kitambo wakawakabidhi jeshi la congo lkn muda mfupi tu jeshi la Congo DR likakimbizwa na waasi wakachukua maeneo tena! This time labda JWTZ wawape kwanza mafunzo na silaha wanajeshi wa Congo.
UNder Tshekedi jeshi lao sasa hivi lipo vizuri tofauti na wakati wa Kabila,sasa hv wa drone wana Sukhoi na Mirage ndege hizo zinawatwanga jamaa.Wamefanya sana mafunzo ya jeshi lao walirecruit vijana wengi.Under Tshekedi DRC wanajitahidi sana.Tatizo ni rushwa kwa baadhi ya makamanda na walipokamata Rutshuru na sehemu nyingine yule kamanda aliyyekuwa anaongoza North Kivu aliondolewa.
 
Kama ni kwel basi haya ni maendeleo mazuri
 
Mi na fuatilia mkuu habari za huko North Kivu maana simpendi PK anachofanya DRC latest news jamaa wa M23 wanajaribu kuikamata Sake wamepondwa na hizo BM 21 na Sukhoi za FARDC balaa,sasa mabwana zao wameingiza gari zenye SAM kuwasaidia ili wajaribu kudungua Drone sasa walijaribu kuingusha ya UN wamepigwa picha nazo. UN wametoa ushahidi ni za RPF.
 
Sasa mkuu si ndio uwe unatupia updates hapa tujumuile pamoja?
 
Mi na fuatilia mkuu habari za huko North Kivu maana simpendi PK anachofanya DRC latest news jamaa wa M23 wanajaribu kuikamata Sake wamepondwa na hizo BM 21 na Sukhoi za FARDC balaa,sasa mabwana zao wameingiza gari zenye SAM kuwasaidia ili wajaribu kudungua Drone sasa walijaribu kuingusha ya UN wamepigwa picha nazo. UN wametoa ushahidi ni za RPF.
Na bijana wetu JW vipi huko, kazi kaz au wali nazi???
 
Mi na fuatilia mkuu habari za huko North Kivu maana simpendi PK anachofanya DRC latest news jamaa wa M23 wanajaribu kuikamata Sake wamepondwa na hizo BM 21 na Sukhoi za FARDC balaa,sasa mabwana zao wameingiza gari zenye SAM kuwasaidia ili wajaribu kudungua Drone sasa walijaribu kuingusha ya UN wamepigwa picha nazo. UN wametoa ushahidi ni za RPF.
Nimeona hizo picha za drone walikuwa ni RDF kweli tena special force ila walimiminiwa mjinga kwa ustadi wa hali ya juu aise

Sijui ni polisi gani kiliwamiminia ile mizinga nimepiga kwa usajiri saana
 
Kabisa,,, sisi kwenye vita ya msituni hakuna yoyote anaetukaribia kuanzia africa mashariki na kati mpaka ukanda wa sadc,, hata huyo msouth labda angani lkn sio porini,, cha ajabu humu kuna watu wakianza kumpamba kagame utasema labda yeye Alexander the great, kumbe yeye mwenyewe mziki wa mbongo anaujua vere wele....
Vita ya ukombozi kwa zaidi ya miaka 30 ilikuwa mwalimu mzuri sana kwa TPDF.
 
Nimeona hizo picha za drone walikuwa ni RDF kweli tena special force ila walimiminiwa mjinga kwa ustadi wa hali ya juu aise

Sijui ni polisi gani kiliwamiminia ile mizinga nimepiga kwa usajiri saana
Na sisi tukipeleka special forces si itakua balaa huko?
 
Hii vita inaweza kupeleka direct confrontation na Rwanda. Niliona kamanda wa M23 amejeruhiwa na akaenda Rwanda. Ila ikitokea tunaenda vitani na Rwanda mambo yatakuwa mabaya sana kwa Rwanda kwasababu raia wengi wa Africa mashariki hawana mtazamo mzuri sana na Rwanda
 
Haiwezekani jwtz itakachofanya ni kuwafurusha hao m23 congo
 
Nyerere bado angekuwepo TZ isingepeleka majeshi DRC na badala yake huu mgogoro umepelekwa kwenye meza ya mazungumzo.
 
Vita ya ukombozi kwa zaidi ya miaka 30 ilikuwa mwalimu mzuri sana kwa TPDF.
Hakika japo watu wengi wanailaumuile harakati ya jk wa kwanza ila ilituimarisha sana kiulinzi na usalama. Maana tulijua nikipi Cha kufanya na kipi so Cha kufanya.

Hivyo ilisaidia kujenga Dora imara ya ulinzi na usalama ambayo inakuwa complicated kuintergrade.

Tulikuw tunashindana na mataifa makubwa mara kadhaa yetu pia yenye uchumi na silaha Kali kutuzidi.

Hivyo ilisaidia kujijenga na kujua mbinu za kumshinda adui wa mwituni, mjini, mwenye nguvu na adui aliye ndani yenu.

JWTZ/TISS. Stay away from this organizations.
 
Back
Top Bottom