M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Huyu jamaa unampata kumbe, niliwahi kuisoma documentary yake alikuwa ni lulu kweli kwa Congo, unfortunately aliuzwa na wajeda wenzie
Nampata vyema sana ni moja ya kamanda aliyekubalika kwa askari sana alikuwa na hamasa pia mbinu nyingi za kupiganisha ila ndiyo hivyo colonel mwenzie alimuuza kwa waasi wa ADF ila hao M23 wanaukumbuka moto wake.
 
Ukishakua na influence kubwa jeshini katika mataifa yenye unstability kama Congo, wewe tayar ni tishio na kinachoku stahili ni kifo maana hukawii kuwaondoa wahusika madarakani.

Never outshine your master
 
Naam na hicho ndicho hasa kilipekekea kwasababu jamaa hadi raia akifika mahala unaweza sema mkutano wa kisiasa kumbe ni Col. Ndala
 
1000005728.jpg

TPDF halafu hawalingi
 
Vita ni ngumu, wahuni wa m23 baada ya kupoteza ushibiti wa kijji cha Mweso wilayani masisi, sasa wamesonga mbele na kukamata miji ya Kiritshe na Shasha kuelekea njia panda ya bukavu na Goma.

Katika mapigano mengine, inasemekena vikosi vya m23 tayari vimeudhibiti mji wa Sake na kurusisha nyuma vikisi bya serikali kufuatia mapmbano makali ya hapo jioni.

Raia wanakimbia Sake kuelekea Goma kwa usalama.
 
Vikosi vya M23 vimerudishwa nyuma kwenye mji wa Sake
 
Tz tumekubali hii kwakua kuna wanajeshi wetu 14 waliuawa?
 
Rwanda jirani na Congo! "Ameshindwa" Kuwamaliza M23! Lakini "ameweza kuwamaliza, magaidi wa, msumbiji nchi iliyo jirani na TZ! Na TZ inaelekea, kuwamaliza M23! Lakini eti " Ilishindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji!
Something smell fishy
 
Tz haikushindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji,bali ilijikita kulinda mipaka ya nchi na haikutaka kujihusisha na mgogoro huo nje ya mipaka ila walibaki kulinda mipaka ya ndani basi.
 
Sahihi
 
Rwanda jirani na Congo! "Ameshindwa" Kuwamaliza M23! Lakini "ameweza kuwamaliza, magaidi wa, msumbiji nchi iliyo jirani na TZ! Na TZ inaelekea, kuwamaliza M23! Lakini eti " Ilishindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji!
Something smell fishy
Hahahahaaa! M23 na Magadi wa Msumbiji ni miradi ya watu. Tanzania na Rwanda kila nchi inanufaika na hivi vikundi kwa namna moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom