M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Wakati hayo yanaendelea,,Congo wanapora watanzania wanaosafirisha bidhaa na magari ya mizigo,,wanapigwa mawe wanaporwa hela had chakula,,madereva mnaosafir Congo muwe makini kumechafuka huko!
Duh! Hii mbaya sana, madereva wamekosea nini sasa?!
 
Ngoja Mr. Slim aamke usingizini,mtamsikia punde
 
Majeshi ya Congo DR ni TAKATAKA, JWTZ walishasafisha eneo hilo kitambo wakawakabidhi jeshi la congo lkn muda mfupi tu jeshi la Congo DR likakimbizwa na waasi wakachukua maeneo tena! This time labda JWTZ wawape kwanza mafunzo na silaha wanajeshi wa Congo.
Tatizo intelligence yao ipo weak sana. Jeshi hata ulipe silaha gani lakini kama ujasusi upo weak kila ambush ni kama mtu ulifunaniwa tu.
 
Bro/Sis!!! Jama alikuwa anashusha matusi hadi unajiuliza kwa nini umeandika aise! Aliwahi nijibu nikatamani kujiondoa JF. Na kila dakika,alikuwaga online. Sijui aliitwa ofisini JF! Dah?!! Ila kweli,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Huwa naogopa sana kuwa korofisha watu wafupi wana balaa hao.
Tushukuru tu maombi ya mwamposa
 
Sio ilivyo bali inavyomtesa hata jana imesaga mtu 40
Urusi inasema ni raia wa kawaida walikuwa kwenye mgahawa
Dah! Naona Jamaa yetu Figa katutelekeza - hatupati updates tena. Cjui ww unazipataje mkuu.
 
Umesema ukweli ,kinachotakiwa ni kujipa sisi kipaumbele
Na kudeal na matatizo yetu kuliko kuleta kimbelembele kwenye mambo ambayo hata hayatuingizii faida
tatizo tunajifanyaga tuna roho nzusi sana kumbe mafala tu, marekani yupo saudia kwa sababu anavuna mafuta mara kumi ya tech ya ulinzi anayowapa saudia, alivamia iraq kuiba mafuta kwa kisingizio cha kutafuta weapons of mass destruction, etc ss kila tuendapo tunarudi na mapumbu tu.
 
Bupigwe bupigwe busambaratike bukimbie kumapori na masase buenderee kubufuata buko musituni
Tunabushuru bajirani yetu ba Tanzania Nzambe ibubariki sana!!!
Oh! Kumbe Kikongo na Kibongo ote iko dugu moja? 😁
 
Pelekeni moto week 3 fungeni hesabu kabidhi maeneo kwa Serikali ya DRC chap chap
Watarudi tena baadaye....!

Mgambo wa Tanzania, wana Nidhamu ya Kijeshi kuliko Jeshi la Congo....!
 
Ifike hatua EAC itibu chanzo. Ipige Rwanda moja kwa moja
Hiyo itakua ni ngumu....!
Coz Rwanda anafanya anayofanya kwa mgongo wa nyuma...!

Msaada mkubwa ni kulisaidia Jeshi la Congo, kuwapa Mafunzo, kulifundisha umuhimu wa Nidhamu Jeshini...!

Kuna Video moja ilivuja kipindi cha nyuma, Jeshi la Congo likiwa Mstari wa mbele, Kamanda anatoa Maagizo kwa askari wake, Askari wanakataa kutekeleza Amri ya Kamanda wao wazi wazi...!
 
Back
Top Bottom