M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Silencer ya nini tena wakati hiyo kelele ndio psychological torture. Yani unasema tuwafanye mbwa wa ulinzi wasibweke wang'ate kimyakimya wakati sauti za kutisha huogofya.

Uko vitani, unasikia mizinga ya adui inaunguruma angani, hujui itadondokea wapi ila moja unaona imedondoka mita 30 mbele na kuna watu wanapiga yowe kumaanisha wameumia. Mzinga mwingine umedondoka mbali yenu ila miti imevunjika, kwingine unasikia mwangwi. Utakaa hapo?
Wajerumani waliwahi unda ndege inaitwa Junkers Ju-87 Stuka, ilikuwa inapiga kelele wakati wa kushambulia na zinatisha.
Wewe utakuwa mjeda
 
Hio mizinga ni chokonozi hata kama wahuni waijificha lazma watachomoka mashimoni full wenge
 
Kusema ukweli nchi yetu iko vizuri sana kijeshi. Afrika Mashariki nzima wanatuelewa.
CHa kushangaza Mali na rasilimali za nchi zinakadhiwa waarabu na wazungu wanapiga mihela halafu vijana kuanzia wasiojua kusoma Hadi wenye digrii 2 wote ni boda waliotoboa ni machawa, sasa sijui JW hawaoni Hadi wameweza kuona kule mbali congo lakini mijizi tumeifuga humu ndani!
 
Tulia wewe jirani awe na amani ili biashara yetu ya bandari ikue vizuri. Halafu uache kuipangia nchi vipaumbele, au wewe ni sehemu ya hao M23 sio?
 
Wako huko muda wote,
Hao M23 huwa wanapigwa kila siku wanarudi kwa baba yao.
Wakiona Jwtz wametimka ndo wanarudi tena na ujinga wao.
Jeshi la Drc ni la kibwege sana sijui wasaidiwe vipi.
DRC ina mamluki wengi na hawana uzalendo over
 
M23 watapoteana

TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC

Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Tanzania Army Employs ‘Saba Saba’ Guns Against M23 Rebels
The BM-21 Grad, also known as ‘Saba Saba’ is a Soviet truck-mounted 122-mm multiple rocket launcher, developed in the early 1960s

The M23 rebels have vowed a firm response to heavy artillery strikes by Tanzanian armed forces deployed in eastern Congo as part of the Southern African Development Cooperation (SADC).

The M23 said Tanzanian forces were using the Multiple Rocket Launchers to strike the insurgents’ bases.

“It is important to emphasise that the M23 respects all Regional Organizations and has no particular problem with SADC, notably the Tanzania People’s Defense Forces (TPDF),” said M23 publicist Lawrence Kanyuka on Saturday.

However, as SADC forces continue to use heavy artillery, in particular the MRLS (BM) 122 mm wielded by Tanzanian soldiers (TPDF), to bomb and kill our civilian populations, the M23 will have no other choice than to capture or neutralise these weapons,” said Kanyuka.

The Tanzanians have focused their attacks on Masisi territory, a stronghold of M23 rebels.

The BM-21 Grad, also known as ‘Saba Saba’ is a Soviet truck-mounted 122-mm multiple rocket launcher, developed in the early 1960s.

The main role of the BM-21 Grad system is to support the division with suppressive fire to counter anti-tank missile, artillery and mortar positions, destroy strong points and eliminate enemy nodes of resistance on the immediate battlefield.

Rockets armed with high explosive-fragmentation, incendiary, or chemical warheads can be fired at targets which are 20 kilometers away.

Newer high explosive and cargo rockets (used to deliver anti-personnel or antitank mines) have a range of 30 kilometers and more.

The artillery’s warheads weigh around 20 kilograms.

The Tanzanians used the ‘Saba Saba’ guns to overthrow Ugandan leader, Idi Amin in 1979.

Masisi has witnessed intense fighting between Congolese forces and M23 rebels in recent months.

The insurgents in February 2024 said they would use force to challenge President Felix Tshisekedi’s hold onto power after two top commanders were killed in deadly drone strikes.

The rebels yesterday fired at a United Nations helicopter in Eastern Congo, injuring two South African peacekeepers, one seriously.

“The helicopter from the UN Mission in the country, MONUSCO, was carrying out a medical evacuation on Friday when it came under fire from presumed members of the M23 armed group in the Karuba region, located in Masisi territory, North Kivu province,” said the UN in a news brief.

The helicopter was able to land safely in the provincial capital, Goma, and the peacekeepers received medical treatment.

MONUSCO chief Bintou Keita warned M23 that attacks against peacekeepers can constitute a war crime.
 
Mm sijui hata jamaa wana nn tu,? yaani kila siku ni kulialia tu, kuna kipindi vikundi vya wizi vya slim na m7 walizichapa ndani ya kongo, aisee nilishangaa mnooo.
Museveni na Kagame ni majambazi ndani ya Kongo , na shughuli zao ni kufadhili makundi ya wahalifu kuvuna dhahabu na magogo ya mbao , maliasili zinazovunwa kijambazi na hazinufaishi serikali ya Congo
 
CHa kushangaza Mali na rasilimali za nchi zinakadhiwa waarabu na wazungu wanapiga mihela halafu vijana kuanzia wasiojua kusoma Hadi wenye digrii 2 wote ni boda waliotoboa ni machawa, sasa sijui JW hawaoni Hadi wameweza kuona kule mbali congo lakini mijizi tumeifuga humu ndani!
Umesema ukweli ,kinachotakiwa ni kujipa sisi kipaumbele
Na kudeal na matatizo yetu kuliko kuleta kimbelembele kwenye mambo ambayo hata hayatuingizii faida
 
GFjxE6YXQAAqdzZ.jpeg
mpaka waseme
 
Back
Top Bottom