M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Limeibuka tena baada ya kuwawekea pozi walivyo kimbilia UG 2013 na silaha , bila masharti au shinikizo kwa wenyeji wao. uG.
 
Kama walizitumia basi ni safisha sklepa ...kama nilivyo pendekeza kwa jwtz nao wafanye hivyo ila kwa mrussi ni tofauti wao wameondoa vyuma chakavu vyote na kuunda vitu safi na vipya ndiyo maana NATO WANALIA
..kitu kingine usicho jua wewe ni aina ya milipuko silaha siyo mashine tu na aina ya milipuko pia
Ww mbona unaubishi wa kitoto,yaani unaambiwa kitu unakubali halafu uzi huo huo unakataa ulichoambiwa ulisema Russian hawatumii bm21 umeletewa source umekubali wanatumia umebadilisha mada tena imekua milipuko tofauti usitute uchizi wako humo unajaza seva tu.
 
Mm sijui hata jamaa wana nn tu,? yaani kila siku ni kulialia tu, kuna kipindi vikundi vya wizi vya slim na m7 walizichapa ndani ya kongo, aisee nilishangaa mnooo.
Ukosefu wa akili wa serkali yao kwa kiwango cha juu
 
Hao jamaa wametupa green light ili waki countermeasure tusianze kulia lia hapa.Noana wabongo wenzangu tunalisifia jeshi letu lakini tumesahau kilichowakuta wanajeshi wetu miaka 2 iliyopita.Hao M23 ni watabe kwenye gorilla warfare na misitu ya huko congo ni nyumbani kwako ngoja tusubiri retaliation yake itakuwa na ukubwa upi
Tumewahi kuwapiga kwenye hiyo hiyo misitu ya Kongo 😅 😅 😅
 
Ww mbona unaubishi wa kitoto,yaani unaambiwa kitu unakubali halafu uzi huo huo unakataa ulichoambiwa ulisema Russian hawatumii bm21 umeletewa source umekubali wanatumia umebadilisha mada tena imekua milipuko tofauti usitute uchizi wako humo unajaza seva tu.
Nikuletee na mimi link au unaleta ubishi mafii ya bata
 
Vita sio vizuri, visikie tu kwa jirani au vitazame kwenye TV.

Hata Wapiganaji wote duniani wanalitambua hilo, uwa ni huzuni kubwa wanapoagana na wapendwa wao kuelekea Uwanja wa Mapambano.

Ambush haitambui Uimara wako, yeyote itakayokuta basi jua ameenda.

Donda la Congo limekuwa Sugu, uwa linapoa TU, ndo maana Wacongo wanahitaji Amani zaidi sio Vikundi vya Walinda Amani.

Nilishangaa kuona Wakishangilia, baada ya Kikosi Kimojawapo(Walinda Amani) kuondoka, Madai yao The Peace Mission has totally failed.
 
brig general ilikuwa ni misuse of resources, huyo luten kanali anawatosha kabisa.
Naam, nimependa hii.. Uimara wa TPDF ndio hapa unaonekana.

Kama mission kubwa kama hii anapewa Luteni Kanali, Je zile kubwakubwa wakikabidhiwa Majenereli? iki ni kijembe pia kwa Kenya, maana lile jeshi walipeleka kule lilikuwa chini ya Meja Jenerali kama sijakosea
 
Back
Top Bottom