M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
images - 2023-11-15T074149.603.jpeg
 
Bro hizbollah kuwafananisha na m23 ni matusi.
Hizbollah ni sehem ya jeshi la Lebanon.
Hamas ni wapigania Palestina.
M23 ni mamluki tu,waache watandikwe.
Hizbu sio sehemu ya jeshi LA Lebanon na hawapo kwenye jeshi la serikali.....au hujui historia ya kuanzishwa kwake???
Hamas ni wapiganaji waislamu wa kiarabu ambao wanapigana na wayahudi......kwa sababu walizoziharalisha wao
 
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC

Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Hili sasa ndiyo jeshi linalotambulika siyo lile la EAC likiongozwa na Kenya. Tutawapa kipigo kama kile cha mwaka 2013 enzi za Kamanda Mwakibolwa
 
Siyo hizo tunazo tumia sisi wacha upumbavu hizi tunazo tumia ni zile zilizo expire na kutulipukia
Ni hizo hizo, wantumia hadi SU 25, NA T70 silaha za zamani but zinaua kuliko za mwaka 2024.
Screenshot_2024-02-04-12-02-21-711_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-02-04-12-01-13-825_com.android.chrome.jpg

 
Hawa watakuja kutaabisha watoto wetu. hawataishia Congo.
Ngoja tu tumalizane nao, ila ningependa wawe wastaarabu tumalizane kistaarabu ingawa hawaonyeshi dalili ya kuwa wastaarabu.
Time is their worst enemy.
Ngoja tusubiri mwisho wake
 
Back
Top Bottom