M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Hao jamaa wametupa green light ili waki countermeasure tusianze kulia lia hapa.Noana wabongo wenzangu tunalisifia jeshi letu lakini tumesahau kilichowakuta wanajeshi wetu miaka 2 iliyopita.Hao M23 ni watabe kwenye gorilla warfare na misitu ya huko congo ni nyumbani kwako ngoja tusubiri retaliation yake itakuwa na ukubwa upi
 
Nashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.

Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.
 
Tofautisha wale waliodhurika waliua katika peacekeeping mission.
Mara nyingi ukiwa katika peacekeeping mission huruhusiwi kufanya fire engagement.
Rejelea 2014 TPDF ilivyowatandika m23.
Sasa kile kinajirudia asa hivi.
 
Bro hizbollah kuwafananisha na m23 ni matusi.
Hizbollah ni sehem ya jeshi la Lebanon.
Hamas ni wapigania Palestina.
M23 ni mamluki tu,waache watandikwe.
 
Pelekeni moto week 3 fungeni hesabu kabidhi maeneo kwa Serikali ya DRC chap chap
Majeshi ya Congo DR ni TAKATAKA, JWTZ walishasafisha eneo hilo kitambo wakawakabidhi jeshi la congo lkn muda mfupi tu jeshi la Congo DR likakimbizwa na waasi wakachukua maeneo tena! This time labda JWTZ wawape kwanza mafunzo na silaha wanajeshi wa Congo.
 
Bro hizbollah kuwafananisha na m23 ni matusi.
Hizbollah ni sehem ya jeshi la Lebanon.
Hamas ni wapigania Palestina.
M23 ni mamluki tu,waache watandikwe.
Nimemaanisha kikundi ambacho kiko connected na permanent source alafu unakishambulia wakati source haiko affected. Hata ukikifuta mnufaikaji atakifufuq kwa maslahi yake.

Kwa hiyo lazima kufanya calculated risk assessment. Msingi ni usipigane vita ambavyo hakunq faida ya moja kwa moja au ya kinyumenyume upande wako. Kama kuwaua taifa litapata faida ya kiuchumi au kiamani tuendelee. Kama haina faida kwetu tuwachape kichapo moderate bila kuibua uhasama endelevu.

Ni hayo tu
 
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC

Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Huyu kagame sio wa kumuamini Mjanja mjanja sana Ukute anaitaka Tanzania aivuruge amani maana ataamua kulipa kisasi yaani kagame sio wa kumuamini bora tukae kimyaaa sio wa kumjibu.
 
Nimemaanisha kikundi ambacho kiko connected na permanent source alafu unakishambulia wakati source haiko affected. Hata ukikifuta mnufaikaji atakifufuq kwa maslahi yake.

Kwa hiyo lazima kufanya calculated risk assessment. Msingi ni usipigane vita ambavyo hakunq faida ya moja kwa moja au ya kinyumenyume upande wako. Kama kuwaua taifa litapata faida ya kiuchumi au kiamani tuendelee. Kama haina faida kwetu tuwachape kichapo moderate bila kuibua uhasama endelevu.

Ni hayo tu
Nchi haiwezi kwenda ki hasara.
Kaa ukijua hilo.
 
Nashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.

Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.
Hawa watakuja kutaabisha watoto wetu. hawataishia Congo.
Ngoja tu tumalizane nao, ila ningependa wawe wastaarabu tumalizane kistaarabu ingawa hawaonyeshi dalili ya kuwa wastaarabu.
Time is their worst enemy.
 
Tofautisha wale waliodhurika waliua katika peacekeeping mission.
Mara nyingi ukiwa katika peacekeeping mission huruhusiwi kufanya fire engagement.
Rejelea 2014 TPDF ilivyowatandika m23.
Sasa kile kinajirudia asa hivi.
Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimisho
 
Kenya hata mipaka yao hawawezi kulinda.
Ila kiufupi vita ina athari ya pande zote mbili.
Sasa mkuu unategemea vita ipiganwe sehem moja?
Ila m23 hana huo ubavu kilichofanyika 2014 kinatokea tena.
Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom