M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Kabisa,,, sisi kwenye vita ya msituni hakuna yoyote anaetukaribia kuanzia africa mashariki na kati mpaka ukanda wa sadc,, hata huyo msouth labda angani lkn sio porini,, cha ajabu humu kuna watu wakianza kumpamba kagame utasema labda yeye Alexander the great, kumbe yeye mwenyewe mziki wa mbongo anaujua vere wele....
Unamaanisha mtu mfupi wa kawe gentamycin!?
Nasikia slim hapendi watu wafupi
 
Mrusi aweke silincer itakuwa poa
Silencer ya nini tena wakati hiyo kelele ndio psychological torture. Yani unasema tuwafanye mbwa wa ulinzi wasibweke wang'ate kimyakimya wakati sauti za kutisha huogofya.

Uko vitani, unasikia mizinga ya adui inaunguruma angani, hujui itadondokea wapi ila moja unaona imedondoka mita 30 mbele na kuna watu wanapiga yowe kumaanisha wameumia. Mzinga mwingine umedondoka mbali yenu ila miti imevunjika, kwingine unasikia mwangwi. Utakaa hapo?
Wajerumani waliwahi unda ndege inaitwa Junkers Ju-87 Stuka, ilikuwa inapiga kelele wakati wa kushambulia na zinatisha.
 
Hao M23 kimtindo wanachekesha sasa ushaambiwa vita ni vita mura unamchagulia vipi Adui siraha ya kukupiga nayo ilihal mtu kaacha familia na Nchi yake kwa kazi maalumu ikamilike arudi chapu au walizoea vita ya kubembelezana toka miaka dahali ili waendelee kuiba madini ya banacongo
 
Wanalialia kisa BM-21 silaha ya kawaida kwa sasa kwenye nchi za Afrika. Sema Mrusi aliunda, hata vita ya Kagera hizi Grad ziliogopwa sana. Tatizo lake huwa zinakuja kwa kelele, unaisikia inaunguruma na hasa ikiwa usiku. Sasa hujui itatua wapi.
Ahahahah..safi sana..mkuu huu nii uwanja wako wa nyumban.😁. I really admire that.
 
Silencer ya nini tena wakati hiyo kelele ndio psychological torture. Yani unasema tuwafanye mbwa wa ulinzi wasibweke wang'ate kimyakimya wakati sauti za kutisha huogofya.

Uko vitani, unasikia mizinga ya adui inaunguruma angani, hujui itadondokea wapi ila moja unaona imedondoka mita 30 mbele na kuna watu wanapiga yowe kumaanisha wameumia. Mzinga mwingine umedondoka mbali yenu ila miti imevunjika, kwingine unasikia mwangwi. Utakaa hapo?
Wajerumani waliwahi unda ndege inaitwa Junkers Ju-87 Stuka, ilikuwa inapiga kelele wakati wa kushambulia na zinatisha.
Mrusi yuko vizuri asiweke silincer
 
Back
Top Bottom