M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
View attachment 2893231

TAFSIRI KWA KISWAHILI

Sisi M23 tunaidhinisha kwamba, tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukanda wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu yenye Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) inayolipua na kuua raia wema wa maeneo yetu, wanaotumia silaha hizo ni wanajeshi kutoka Tanzania.

View attachment 2893222

View attachment 2893239


Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanaozi operate (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
Kunguru hao waoga kauli za mtu muoga BM-21 silaha ndogo sana na hata FARDC pia wanazo zingepelewa BM-27 na BM-30 si wangekimbia hovyo ila BM-21 zinatisha pamoja na udogo wake na zilichangaia sana ushindi wa vita vya Kagera.
 
tofauti yake ni nini? na sisi tunazo zipi?
Ni mifumo ya kubeba na kurusha rokect nyingi kwa mkupuo.

BM-21 mrl 122mm ni mfumo mwepesi(light) wa kurusha rocket nyingi unaweza kurusha rocket mpaka 50 Km.

BM-27 mrl 220mm ni mfumo wa wastani(medium) wa kurusha rocket nyingi,unaweza kurusha rocket kutoka 0.5 mpaka 70 Km.

BM-30 mrl 300 mm mfumo mzito wa kurusha rocket nyingi unaweza kurusha rocket mpaka km 120, yaani unaweza kuzirusha rocket kutoka Goma mpaka Kigali au kutoka Rusumo mpaka Kigali.Kuna kipindi mwezi 12 mwaka jana Rais Felix Tshisekedi wa DRC alinikuliwa akisema anaweza kuipiga Kigali na mabomu bila kuvuka mpaka kama ataendelea kuvuga usalama East DRC hii mifumo FARDC pia wanayo

Hi mifumo yote TZ ipo mingi tu ya kutosha.
 
Silencer ya nini tena wakati hiyo kelele ndio psychological torture. Yani unasema tuwafanye mbwa wa ulinzi wasibweke wang'ate kimyakimya wakati sauti za kutisha huogofya.

Uko vitani, unasikia mizinga ya adui inaunguruma angani, hujui itadondokea wapi ila moja unaona imedondoka mita 30 mbele na kuna watu wanapiga yowe kumaanisha wameumia. Mzinga mwingine umedondoka mbali yenu ila miti imevunjika, kwingine unasikia mwangwi. Utakaa hapo?
Wajerumani waliwahi unda ndege inaitwa Junkers Ju-87 Stuka, ilikuwa inapiga kelele wakati wa kushambulia na zinatisha.
Kwahiyo mkuu wataka kusema hiyo hiyo Bm21 inawatosha??
 
Ni mifumo ya kubeba na kurusha rokect nyingi kwa mkupuo.

BM-21 mrl 122mm ni mfumo mwepesi(light) wa kurusha rocket nyingi unaweza kurusha rocket mpaka 50 Km.

BM-27 mrl 220mm ni mfumo wa wastani(medium) wa kurusha rocket nyingi,unaweza kurusha rocket kutoka 0.5 mpaka 70 Km.

BM-30 mrl 300 mm mfumo mzito wa kurusha rocket nyingi unaweza kurusha rocket mpaka km 120, yaani unaweza kuzirusha rocket kutoka Goma mpaka Kigali au kutoka Rusumo mpaka Kigali.Kuna kipindi mwezi 12 mwaka jana Rais Felix Tshisekedi wa DRC alinikuliwa akisema anaweza kuipiga Kigali na mabomu bila kuvuka mpakusoma ka kama ataendelea kuvuga usalama East DRC hii mifumo FARDC pia wanayo

Hi mifumo yote TZ ipo mingi tu ya kutosha.
So unadhani nini shida pale DRC?
Maana hakuna maelezo yakumake sense popote pale !!
 
Hao jamaa ni wanyajitiaji, hili biti sio la kujichekesha
Walishawahi kuwanyatia na zaidi ya 14 JW wakafa
1707011516048.png
 
M23 ni askari wa Rwanda asilimia kubwa. Wako pale kwasababu za kiuchumi. Uchumi wa Kongo unategemea wizi wa madini ya Kongo mashariki.

Siku za hivi karibuni m23 wanekuwa wakipoa kichapo kutika wapiganaji wa kundi la wazalendo linaloungwa mko o na serikali. Tofauti na serikali, Wazalendo wamekuwa wakitumia njia ya kuvizia na kustukiza hivyo kuwapa wakati mgumu m23. Kumbuka hawa wazalendo ni wenyeji wa maeneo kuliko wanyarwada.

Kwa sasa Uganda ameingia kwa upande wa m23 kumsaidia ndugu yake Rwanda anaechezea kichapo.
Angalia hiyo pich ya majeruhi wa askari wa Rwanda kutokana na kipigo wanachooata kutoka Kongo
20240204_075121.jpg


Pamoja na kuwa SADC imepeleka majeshi kupigana DRC lakini majeshi kutoka Tanzania ndio yenye kuogopwa na kuchukiwa na hao m23 pamoja na mabwana zao
 
Back
Top Bottom