M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC

Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa mpaka Dar es Salaam
View attachment 2893189
Waache kutisha Jeshi letu! Wangekuwa na uwezo huo wasingetangaza. Hapo wanatafuta kuonewa huruma. Kama wanataka amani wakubali kuachana na vita.
 
Vita ya porini hakuna anayetukaribia ukanda huu.
Kabisa,,, sisi kwenye vita ya msituni hakuna yoyote anaetukaribia kuanzia africa mashariki na kati mpaka ukanda wa sadc,, hata huyo msouth labda angani lkn sio porini,, cha ajabu humu kuna watu wakianza kumpamba kagame utasema labda yeye Alexander the great, kumbe yeye mwenyewe mziki wa mbongo anaujua vere wele....
 
Back
Top Bottom