M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
1706983959743.png

TAFSIRI KWA KISWAHILI

Sisi M23 tunaidhinisha kwamba, tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukanda wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu yenye Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) inayolipua na kuua raia wema wa maeneo yetu, wanaofanya haya ni wanajeshi kutoka Tanzania.

1707005545971.png

Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanajeshi wanaotushambilia (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
 
View attachment 2893231

Sisi M23 tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukada wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ambao nao wameletwa katika operesheni katika ukanda wetu,

Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) ambayo inatumiwa na jeshi la Tanzania kulipua na kuua raia wema wa maeneo yetu,

View attachment 2893222

Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanaozi operate (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
Acheni kusumbua raia wa Congo, muishi kwa amani vinginevyo kipigo kinawahusu

Na Jeshi letu litatekeleza kwa ukamilifu wajibu wake, kama mlizoea kuchezea majeshi mengine hapa mmeula wachuya
 
View attachment 2893231

TAFSIRI KWA KISWAHILI

Sisi M23 tunaidhinisha kwamba, tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukanda wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu yenye Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) ambayo inatumiwa na jeshi la Tanzania kulipua na kuua raia wema wa maeneo yetu,

View attachment 2893222

Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanaozi operate (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
Watulie wapewe dozi 😆😆
 
Acheni kusumbua raia wa Congo, muishi kwa amani vinginevyo kipigo kinawahusu

Na Jeshi letu litatekeleza kwa ukamilifu wajibu wake, kama mlizoea kuchezea majeshi mengine hapa mmeula wachuya
Wewe utakuwa mgeni wa haya mambo,

Paul Jagame na M23 yake waliipata fresh kipindi cha Kikwete, Paul alikuwa mdogo kama Piritoni na dharau zake,
 
Back
Top Bottom