M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC
Vita sio vizuri, visikie tu kwa jirani au vitazame kwenye TV.

Hata Wapiganaji wote duniani wanalitambua hilo, uwa ni huzuni kubwa wanapoagana na wapendwa wao kuelekea Uwanja wa Mapambano.

Ambush haitambui Uimara wako, yeyote itakayokuta basi jua ameenda.

Donda la Congo limekuwa Sugu, uwa linapoa TU, ndo maana Wacongo wanahitaji Amani zaidi sio Vikundi vya Walinda Amani.

Nilishangaa kuona Wakishangilia, baada ya Kikosi Kimojawapo(Walinda Amani) kuondoka, Madai yao The Peace Mission has totally failed.
Ulitaka kusemaje Mkuu...?
 
Inamaana wewe huwajui wabongo kwa ushabiki na ushambenga?
Sio ushabiki taarifa hyo hapo official
Screenshot_20240204-175103.jpg
 
Ww umesema russia hawatumii bm21 imeletwa source kuwa wanatumia bm21 unasema milipuko siyo hyo humu itakuwa tunachat na watu wengne machizi ww kila unachoambiwa unabadilisha mada inimladi ubishe tu
Tumia akili kuna tofauti mashine inaweza kuwa ile ile ila mabomu na tec yake ni tofauti hata umbali wa kushambulia hizi za tz hazitumiki urusi maana ni rahisi kupigwa na adui na kukuangamiza wewe mwenyewe kutokana na silaha za adui hivyo kuna up grade ya tec zinafungwa hizo bm 21 zipo za kizamani na zakisasa jina ni ilo ilo ila tofauti ni tec hasa ya makombora yanayo tumika kazi ya ili gari ni kufyatua tu hivyo wanaweza kufunga kwa kubebeshea tec za kisasa zaidi vifaru vya urussi vilivyo kuwa na majina ya kizamani ila vimefanyiwa up grade ya hali ya juu kabisa jina ni lile lile ...sipendi kubishana na marofa
 
Ww umesema russia hawatumii bm21 imeletwa source kuwa wanatumia bm21 unasema milipuko siyo hyo humu itakuwa tunachat na watu wengne machizi ww kila unachoambiwa unabadilisha mada inimladi ubishe tu
We kijambio cha saa mia moja soma hapo mwisho ...utaona generation of rocket ila gari ni lilelile na baada ya vita kuanza jwa sasa hizo bm 21 za urussi ni kitu kingine kabisa zinapiga hadi drone kwa sababu wameundacroketi za aina mbali mbali zinazo tumika kwenye ilo gari kwa,malengo tofauti kwa sasa wanatumia hadi thermoballistic ndogo ndogo kwenye hiyo bm 21
Screenshot_20240204-225811_Google.jpg
 
Kwakuwa Wakongomani hawana Akili kama Wewe na Taifa utokalo Taifa la Watu Werevu ( Intelligent ) Afrika Mashariki limelazimika kuwalindia Rasilimali zao.
Mkuu ,,,,,,mm mwenyewe mtusi......na jatuna intelligent yoyote kuwazidi wabantu wengine......Sifa tu ndio zimetujaa kama wahaya na waganda
 
Naam, nimependa hii.. Uimara wa TPDF ndio hapa unaonekana.

Kama mission kubwa kama hii anapewa Luteni Kanali, Je zile kubwakubwa wakikabidhiwa Majenereli? iki ni kijembe pia kwa Kenya, maana lile jeshi walipeleka kule lilikuwa chini ya Meja Jenerali kama sijakosea
Kipindi kile alienda brigedia kwa sababu Tanzania ndio ilitoa kiongozi wa vikosi vyote, kwa sasa aliyetoa kiongozi
ni South Africa nadhani naye ni brigedia
 
Back
Top Bottom