Nashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.
Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.