Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa ni wauaji wakubwa pumbavu snHaya ndo mambo si ya kuacha hivi hivi yapite. Wahusika kama si unyama binafsi wanatumia sheria gani? Dhana ya utawala bora inatupa shida sana manyani.
Hawa inatakiwa wachukuliwe hatua kali sn washenzi wakubwaHATA JAMAA MWENYEWE MPUMBAVU. NINGEKUA MIMI NISINGETII HATA MOJA YA AMRI WALIZOKUA WANAMPA. INGEBIDI WATUMIE NGUVU NA INGESAIDIA KUWAUMBUA ZAIDI JAMAA HAWA WALIOHARIBIWA NA AWAMU YA TANO.
Haki za binadamu wako wapi? yaani watu wanatesa sn na hivi vyombo vya CCMKuadhibu mtuhumiwa bila kumfikisha kwenye vyombo husika kunatoa loophole kwa watu wasiyo na nia njema kutenda unyama. Hii siyo kanuni yangu bali ni kanuni ya maisha yenye ukweli. Kuna raia wengi wasio na hatia wameathirika na wengine kuua kwa sababu ya hili jambo. Nchi ina sheria na taratibu. Ni lazima zifutwe.
Wamezoea kuua awamu ya dikteta hawajui kama kafaHata kama ni mkosaji, kazi ya mahaka ni ipi, na je sheria zinasemaje
Hii ni mbaya kabisa,mfano huyo jamaa angegoma Ndio ile inatokea wanampiga anakufa alafu wanasingizia alitaka kuwa nyanganya silaha ,tabia mbaya sana ,alafu walivyo washenzi wanarekodi kuonyesha watu ,Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
Kazi ya Mahakama ni nini? Iko wapi Rule of law?Huyu kijana namjua ni ndugu zake nadhani wanatoka Bukoba, Kuna kipindi alikuwa anaendesha gari ya mkubwa mmoja hapo jijini Dar es salaam. Huyu nadhani ameajiriwa serikalini na hapo kakamatwa may be akiwa anajifanya TAKUKURU.
Na hawa ndio watu waliokuwa wanatutisha kama watu wasiojulikana kujipatia fedha. Kama mzazi lazima uuzunike kuona namna watoto walivyokuwa na ujasiri kujitambulisha kama watendaji wa Umma.
Nadhani pia suala lakutisha watu Mimi Ni Nani liishe. Hivi vyuma vimeumana, hao ni wao kwaoooooo huyu kijana ni wa system au walimlea huko amezoeaaa?
Afadhali anayeunda tume, yule mwingine wangepandishwa vyeo.Maza ataishia kuunda tume
Tume zinatoa mrejesho?Afadhali anayeunda tume, yule mwingine wangepandishwa vyeo.
Hapana Huyu jamaa nimesoma naye na ni afisa serikalini kuna kitu kinaitwa rights of the accused, rights to be heard...ndiyo mana kuna mahakama...tusiingiliane kimajukumuVipi na wewe unafanyakazi ya utapeli mkuu?
"Huu ni uhaini" walioiba 1.6 billion hazina mbona hawajakamatwa na kufanyika huu unyama? Kamishna general wa uhamiaji kwa hili jiuzulu tu.Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria
zikafuate mkondo wake.
Mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuamua kama kuna kosa limetendeka na kutoa adhabu.Ukifanya kosa kama hilo ukapewa choice ya mahakamani au adhabu kama hiyo kwa kosa hilo la kujidai takukuru wewe mleta uzi utachagua nini?Tuanzie hapo!
Kama ni hivyo adhabu haijatosha ,alitakiwa aingiziwe gogo nyuma kenge huyoHuyu kaonewa huruma sana.
Kweli unaenda Uhamiaji unadanganya kuwa wewe ni PCCB?
Ametapeli Wangapi kwenye taasisi za kiraia?
Piga Mbwa huyo
Safi Sana aiseeNianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
Unadanganya hadharani?takukuru bandia unajua ni kosa la jinai?Tena uhamiaji?huyu angepewa choice angesema arushwe kichura aende kwake!Baada ya yale walitakiwa wamsamehe ingestahili.Mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuamua kama kuna kosa limetendeka na kutoa adhabu.
Kwenye hili pia mtuhumiwa anatakiwa apelekwe mahakamani na ndio maana mwishoni amefungwa pingu na kuamuliwa akae asubiri.
Vinginevyo angeambiwa umeishaadhibiwa ondoka usirudie tena....
Hao maafisa uhamiaji wametenda kosa hapa na labda wamethibitisha jinsi wanavyokiuka sheria. Huyo kijana afungue kesi ya kudhalilishwa.