Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Haya maandamano hayajafika level za kutishia utawala wa kimapinduzi wa Iran. Level yake bado ni mob tu za miji ya kawaida wala nguvu hazijatumika nyingi.

Iran ina uzoefu na maandamano, huwa wanamiminika barabarani na polisi wanajazwa kipigo kinatembea. Kama Iran hawajafa watu walau 1000 hapo serikali iko salama sana tu. Ili yafanye mabadiliko yanahitaji momentum kubwa zaidi ya sasa. Tofauti ni kwamba haya yameletwa na wanawake. Pia Wairan wana fujo wakiandamana na wana ushirikiano, kila siku wanawaotea polisi na kuwapiga
 
Ikipinduliwa hiyo Serikali itakuwa poa sana

Na Iran ikianguka Saudi Arabia ajiandae
 
Ikipinduliwa hiyo Serikali itakuwa poa sana

Na Iran ikianguka Saudi Arabia ajiandae
Saudi Arabia haiipendi serikali ya Iran ila bado haitaki hostilities kwa jirani na uchochezi wa mageuzi. Familia ya kifalme haipendi wananchi wake wapewe somo kwamba kumbe inawezekana. Iliishi kwa shida sana kwenye Arab Spring hadi wakawa wanagawa hela
 
Mi ningependa ipinduliwe ili tupate mwanzo mpya
 
Acha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.

Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.

Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
 
Dini inayohatarisha maisha ya wengine hiyo si dini ni uzombi. Ifike muda dunia iseme hapana na ikatae itikadi hii hatari kwa ustawi wa dunia iliyostaarabika
 
Shida ni kulazimisha tamaduni za waarabu katika jamii zingine eti ni uislamu..ukristo ulishasema wazi kujipamba kwenu kusiwe kwa nje bali ndani...kumaanisha kwamba imani ya nje haiwezi leta ukombozi kamili bali imani ya kweli ya rohoni.

Kiukweli kwa ulimwengi wasasa dini zinakosa mashiko..ndio mana wafia dini wamebaki kukazi shingo n akuua watu ili kuwalazimiasha kufuata matakwa ya dini...za miaka 2000 iliyopita.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uonevu tu dhidi ya wanawake. Wamechoka sasa.
 

Kitabu cha dini ya Allah quran , Dini isio na mashaka kinaruhusu ndoa ya kihuni inaitwa Nikah muttah.. yaani mtu unakutana na mwanamke unamnunua kwa kufunga ndoa ya masaa tu .

Mnatongozana saa 2 na kufunga ndoa .Mnagongana saa 3 mkimaliza kugongana mnalipana hela ya kula papuchi kisha ndoa inakuwa imeisha..

Ndoa hiyo ina tofauti gani na biashara ya kimboka ama corner bar.

Why quran iruhusu umalaya huo

Kama kweli ni kitabu cha Allah asiyependa zinaa
 
Dini inayohatarisha maisha ya wengine hiyo si dini ni uzombi. Ifike muda dunia iseme hapana na ikatae itikadi hii hatari kwa ustawi wa dunia iliyostaarabika
Wao wenyewe wameanza kuzikataa..ndio mana wanatunga sheria kali ili kuendelea kutisha waumini wazifute...huu ushamba wa kizamani hauna nafasi katika dunia ya sasa siku.

#MaendeleoHayanaChama
 
Usilinganishe Ukristo na mambo ya hovyo hovyo.
 
Hapo Marekani na Israel lazima wapenyeze majasusi wao kuchochea vurugu
Nyie ebu mue mnaacha uongo, sasa hao Marekani na Israel watakuwa wapi ndani ya Iran hadi hata mamlaka zisiwaone.

Wananchi wakijitokeza kupinga unyama wowote unaofanywa na madikteta lazima tu mtasingizia Marekani kwamba ndio kachochea watu wapinge.

Yaani mnawachukulia wananchi kwamba siku zote hawana busara na hawawezi kuona ubaya hadi waambiwe na Marekani na kwamba Marekani tu ndio ana akili za kuona mambo mabaya..!! Bure kabisa.
 
Una ushahidi wa Hilo?..pili hiyo ndoa yako unayotoa mahari na kuachana baada ya miaka mitano siyo biashara ya ukahaba!?..maana tofauti ni muda tu!!
 
Sasa kama huko kwenye mizizi ya hii dini wameanza kuikataa na huenda wakafanikiwa kufuta itikadi kali hizo kwenye mataifa yao, je afrika kusini mwa jangwa la sahara bado wanaona hii dini inawafaa wakati waliletewa enzi zile za utumwa na ukoloni? Waafrika waamke waachane na uzombi wa dini za kikatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…