Kuna maaskofu wanaoinyooshea serikali vidole kama Catholic hapa kwetu?
Hao akina malasusa na mashekh ubwabwa umewahi kuwasikia?
Wanainyooshea pale masrahi yao ikiguswa sio ya raia, labda issue ya bandari kwasbb walikua wanapitisha vitu vingi bila kulipia kodi, lakini mbona likija suala la kutnguliwa wagombea wa chama kinzani wajitokeze, wizi wa kura, ufisadi wanakua kimya.
 
Ana wasahau hadi wavaa kobazi wenzake
Tuache lugha za dharau,wavaa kobaz wenzie ni akina nani? tunaishi na waislamu na wakristo mitaani kwetu kwa amani na furaha,chochoko za nini? Kama ni michango anatoa kwa dini zote
 
Kanisa linatakiwa kuwa huru, huwezi kuwa huru huku unapokea pesa za rushwa, wanasiasa pesa zao ni zao la wizi, ufisadi na ushirikina
Japo hilo ni jambo jema lakini halitekelezeki,pia uovu ulioko makanisani na misikitini ni zaidi ya kupokea fedha
 
Huku kwetu mtaji wa kwanza wa kanisa ni viongozi wa siasa, hadi kampeni zinafanywa ndani ya nyumba za ibada.
Sasa kumbe hujui,kanisa la kenya ndio zero kabisa kwani ruto alilinunua lote na ndilo likimuingiza madarakani sasa baadhi kama wakatoliki ndio wanaongea muda huu,ila wanaaibishwa maana wanatukanwa sawasawa
 
Sasa kumbe hujui,kanisa la kenya ndio zero kabisa kwani ruto alilinunua lote na ndilo likimuingiza madarakani sasa baadhi kama wakatoliki ndio wanaongea muda huu,ila wanaaibishwa maana wanatukanwa sawasawa
Kama wamejielewa na kuanza kujirudi ni uamuzi sahihi maana hali ingezidi kuwa mbaya kwao na kwa wafuasi wa ukristo.
 
Kama huyo Askofu layasema kweli hayo basi ni MPUMBAVU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…