Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Wakuu hapa kwetu Bongo kuna kitu cha kujifunza,maasikofu na mashekh wa TZ chukueni hii.
Askofu mkuu wa kanisa katoliki nchini Kenya amekataa kupokea pesa hizo ili kulinda hadhi ya kanisa pia kakataa kutumika kisiasa baadae.
Maasikofu na viongozi wa madhehebu wa TZ acheni njaa pia mskubali kutumika kisiasa na viongozi, nyie mmekuwa wanafiki na wachumia tumbo.