Hii ni ya moto, Katoliki Kenya hawafanyi utani juzi walito walaka unao husu ufisadi nchini ja mojja, Waraka pia ulihusu utekaji, ba kubinya wakosoaji.
View attachment 3155783
Juzi jumapili tarehe 17/11/2024 Ruto na Gavana Sakaya walihudhuria ibada kwenye kanisa moja Nairobi na kutoa mchango na kuahidi kutoa mchango zaidi wa kununua basi na kadhalika.
View attachment 3155785
Sasa Jana usiku Askofu mkuu ambaye yeyehakuwepo hapo kanidani ameamuru mchango wa Raisi Ruto na Gavana Sakaya urudishiwe na pia ahadi walio ahidi iwe canceled.
TEC sasa tumukuwa tukishuhudia Mama yule akitoa mara million 100 mara million 300 sasa ni wakati wakuiga Maaskofu wa Kenya na kusimamia njia sahihi.
Hii sio kwa TEC tu bali na makanisa mengine kama KKT na kadhalika.Makanisani ndio sehemu ya kutakatishia pesa za kifisadi, Na Mama yule anajitahihidi sana kwa hilo. Hatoi mchanho msikitini hapana ni Makanisani tena sana Katolik.
Ni wakati sasa kwa TEC pia kukataa michango ya Mama yule.