Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto
Magufuli alikuwa anapeleka bahasha zilizotuna kwa Cardinal yule na bwana Mufti. Huyu wa KK nyingi yeye alikuwa anazifuata mwenyewe maana Yuko kwenye kitengo.
Waambie,hakuna kiongozi asiyetia fedha kwa makanisa au misikiti,hajaanza yule mama,waache chuki zao kwa yule mama
 
Hii ni ya moto, Katoliki Kenya hawafanyi utani juzi walito walaka unao husu ufisadi nchini ja mojja, Waraka pia ulihusu utekaji, ba kubinya wakosoaji.
View attachment 3155783

Juzi jumapili tarehe 17/11/2024 Ruto na Gavana Sakaya walihudhuria ibada kwenye kanisa moja Nairobi na kutoa mchango na kuahidi kutoa mchango zaidi wa kununua basi na kadhalika.
View attachment 3155785

Sasa Jana usiku Askofu mkuu ambaye yeyehakuwepo hapo kanidani ameamuru mchango wa Raisi Ruto na Gavana Sakaya urudishiwe na pia ahadi walio ahidi iwe canceled.

TEC sasa tumukuwa tukishuhudia Mama yule akitoa mara million 100 mara million 300 sasa ni wakati wakuiga Maaskofu wa Kenya na kusimamia njia sahihi.

Hii sio kwa TEC tu bali na makanisa mengine kama KKT na kadhalika.Makanisani ndio sehemu ya kutakatishia pesa za kifisadi, Na Mama yule anajitahihidi sana kwa hilo. Hatoi mchanho msikitini hapana ni Makanisani tena sana Katolik.

Ni wakati sasa kwa TEC pia kukataa michango ya Mama yule.
Yaani thread yako Ina ujumbe muhimu sana.
Ebu jaribu kurekebisha hizo lafudhi alafu urudi!
 
TEC wana cha kujifunza kwa wenzao wa Kenya. Acheni kuwakumbatia wanasiasa. Hizo hela zao wanazowapa kila siku kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Kanisa, zina laana!
 
Hayo majinga yanapendaga cheap popularity, km wanatamani siasa wavue majoho. Mbn makanisani mwao kumejaa kila aina ya ufisadi na dhuluma, ubaguzi wa kidini. RC si kanisa ni kundi la wenye maslahi yao binafsi. Waliangamiza raia Rwanda, mashetani tu hao. Serikali iache kuwaogopa
 
Waipeleke TEC, CCT au BAKWATA watatukuzwa mpaka washangae
 
TEC wana cha kujifunza kwa wenzao wa Kenya. Acheni kuwakumbatia wanasiasa. Hizo hela zao wanazowapa kila siku kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Kanisa, zina laana!
Usidanganyike,hao maaskofu wa kenya ni aibu tupu,kwenye uchaguzi 2022 ruto aliwanunua wote,na ndani ya makanisa yao,wakiwemo hao makatoliki walikuwa wakimpigia kampeni ruto hadharani,hivi sasa wameanza kumsema vibaya lakini ni wao ndio walikuwa wakimsifu,msiwaone hivi sasa eti wanamsema ruto,na ndio maana aliwahibu hadharani kwa kuwaita waongo kwani anajua kuwa aliwahonga,hizo siasa zao tuwaachie wao wenyewe,maaskofu wetu hawana cha kujifunza huko kenya
 
Siasa za kenya tuziache huko huko,kwani hayo hayo makanisa ndio yalimkumbatia ruto na kusema ni chaguo la Mungu,waliwakataa azimio la umoja hadharani,ambalo lilikuwa kosa kubwa sana,kuchagua upande na walikuwa wanapokea michango ya ruto,sasa eti wameanza kumkataa ruto,hayo ni majibu ya upuuzi wao na ruto anawatukana sawasawa kwani anajua aliwahonga na ushahidi anao
Uko sahihi kabisa memba na pia siasa za Kenya ni za ukabila na inaonekana Askofu huyo ni mjaluo kulingana na Jina lake.
 
Back
Top Bottom