Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Mnasumbuliwa na mfumo dume. Samia tunae mpaka 2030.Hata huo unao semwa kuwa ushauri, tazama uzito wa ushauri wenyewe ulivyo. Utalinganisha vipi ushauri anaoutoa Warioba kwa mfano na huu wa Kikwete?
Unajuaje kama Kikwete hamkosoi Samia wakiwa mbali ya kamera?.Anayeshauri pumba lazima akemewe!!
Mtu mzima anadangaya waziwazi mchana kweupe at mwanae alipita bila kupingwa 2020!!
Halafu Nyerere hakuishia kushauri kwa Mwinyi tu,alikuwa mkosoaji pia hadi awamu ya Mkapa refer ubinafsishaji wa benki ya NBC!
Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Kauli yake kwenye kitabu chake iliiua hoja ya G55 iliyoanzia ndani ya ukumbi wa bunge.Nyerere alishauri jambo la msingi gani? Kuzuia serikali tatu ama?
Na tukiweka mahaba ya Udini na Uccm pembeni akuhitaji wala Elimu kubwa kuonana Kikwete ndio anaongoza Nchi mbaya zaidi anaunda kundi dogo la kifalme ili watutawale mileleHuyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
Lisu na yeye ni mkatoriki. Sasa hapo dini iliingiajeSi alikua mkatoliki mwenzao, yule gaidi wa kikatoliki Magufuli alivyokua madarakani kateka na kuua kapiga risasi kina Lissu ila hatujaskia wakifunga Novena tukaona wanampa vikapu achangishe sadaka kanisani
Na sadaka ya ujenzi wa msikiti ikachangwa kanisani, Acha udiniSi alikua mkatoliki mwenzao, yule gaidi wa kikatoliki Magufuli alivyokua madarakani kateka na kuua kapiga risasi kina Lissu ila hatujaskia wakifunga Novena tukaona wanampa vikapu achangishe sadaka kanisani
Msikiti hautakiwi kujengwa na pesa haramuNa sadaka ya ujenzi wa msikiti ikachangwa kanisani, Acha udini
Wewe ni mpumbavu!!😅😅 Ameuliza wanaotoa tamko walikuwa wapi!!!?? Najibu walikuwa mapadre wa kawaida, na wengine walikuwa waseminary.Kwa hiyo mwaka 1985 kulikuwa hakuna maaskofu?Hoja dhaifu sana.
Wisdom is chasing you but you are always faster. Umeelewa hata nilichoandika?Unaweza kuzungumzia logic?Paraconsistent logic ndio inakusumbua ingawa hujui hata ni field ipi kwenye logic.Wewe ni mpumbavu!!😅😅 Ameuliza wanaotoa tamko walikuwa wapi!!!?? Najibu walikuwa mapadre wa kawaida, na wengine walikuwa waseminary.
Ubaya wa kukosa elementary knowledge ya philosophy, hasa Branch ya LOGIC, 😅😅🤣🤣🤣 upo KUBWA JINGA
Nchi hii ni udini kwa kwenda mbele. Waliosababisha mauaji ya kimbali Rwanda ni hawa wakatoliki. Maslahi yao yameguswa wanapiga kelele mpka kumhusisha Mungu ni upuuziHakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
hayo ni mawazo yako finyu. Jk haezi kuwaza kama unavyowaza ujinga na umaskini. the gentleman is an ecomist he knows what he is doing. Afterall debt financing is so much advantageous as compared to equity financing. Ask any economist atakeambia hivyo. achana na hawa mbulula maaskofu waliosoma theology tuNyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Hakuna kulegeza Walizoea tax waiver za kimagumashi.Walipe kodi hakuna free ride tena.Chokochoko na kukaza shingo hazitawassidia.Wamebebwa sana na kampuni za kitapeli.Kweli kabisa
Sidhani kama anajua kusoma na kutafakari kile alichokisoma.kwa kweli nakushauri ungekitafuta kile kitabu cha Mzee Ruksa ukakisoma, ungeyafahamu mengi aliyopitia yule Mzee.
eti ee ila rohoni unajua kuwa viongozi wailslamu ndoo wanaleta neema. waulize wafanyakazi wa selikali watakupa jibuWe huoni nchi ikishikwa na wakristo inavyo tamalaki? Hiyo ndiyo akili yenyewe, we tuzama mara zote nchi ikishikwa na waislam nini kinatoke, rejea mwinyi,rejea kikwete na sasa huyu mama chaudele wenu, na sijuwagi kwanini mafisadi wengi n waislam
Hivi unafuatilia kweli jinsi mambo yanavyoenda au upo kishabiki zaidi? Angalia Rasilimali zetu jinsi zinavyobufaisha Watu wachache hasa wageni, sehemu muhimu kama Bandali unawapaje wageni ili waendeshe?Samia anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko wote watano waliomtangulia. Unaposema mambo yanaharibika inabidi uwe muwazi zaidi.
Nafsi zao zinashindwa kukubaliana na ukweli kwamba hawakutegemea muda huu JPM awe tayari keshaondoka duniani na nchi iwe inaongozwa na mwanamama wa kiislam.
sawa economist...hayo ni mawazo yako finyu. Jk haezi kuwaza kama unavyowaza ujinga na umaskini. the gentleman is an ecomist he knows what he is doing. Afterall debt financing is so much advantageous as compared to equity financing. Ask any economist atakeambia hivyo. achana na hawa mbulula maaskofu waliosoma theology tu
Mizoga yote sasa ikpo jukwaani; kwa hiyo uvundo unakuwa ni mkali kabisa: huku yupo Tlaatlaah,; pale mzoga Kavulata na Stuxnet; na wewe hapa kwa nafasi yako ya uongozi wa timu ya mizoga inayonufaika kutokana na Genge?Unajuaje kama Kikwete hamkosoi Samia wakiwa mbali ya kamera?.
Mashambulizi dhidi ya JK ni chuki za kipuuzi ambazo hazina maana yoyote.
Uhai ni siri ya Mungu, ndio amepanga JK awe anapumua tarehe ya leo ndio aliyepanga JPM aondoke duniani March 2021.