Hii ni kweli kabisa, hata makete sio kwamba kote kuna baridi inayofanana. Pale Makete mjini (kuna mtu atakuja kuuliza Makete mjini ni wapi π) na kitulo ndio funga kaziWatu wa Makete wanakwambia hiyo uloona Njombe bado ni jotoπππ
Nenda Makete penyewe au fika Kitulo National park huko ndo makao makuu ya baridi
Mkuu kwa hiyo tuache kisema Mbwana Samatta ni mchezaji mzuri just tu kwa sababu kuna mchezaji raia wa Argentina anaitwa Lionel Messi kwa hiyo dunia nzima tujikite kwa Messi tusiongelee mchezaji mwingine nje ya hapo, iwe ni Messi Messi Messi Messi Messi tu...Wabongo kwa kupamba maneno hatari, hili baridi linazungumziwa utasema kama ulaya.
Na bado hawanukiKule makete nilisoma chuo cha kati nlistaajabu kuona wadada wa kule wakienda kukata gogo hawatumii maji wa chochote kujisafisha
Na mada inasema maeneo ya hapa nchini, kwa hiyo tuseme tu Tanzania yote ni Joto kama Dar kisa hakuna sehemu yenye baridi kama ulaya? π€£π€£ Mtajuaje kama amefika UlayaMkuu kwa hiyo tuache kisema Mbwana Samatta ni mchezaji mzuri just tu kwa sababu kuna mchezaji raia wa Argentina anaitwa Lionel Messi kwa hiyo dunia nzima tujikite kwa Messi tusiongelee mchezaji mwingine nje ya hapo, iwe ni Messi Messi Messi Messi Messi tu...
Kwa hiyo ww unadhani watu hapa hawajui kama ulaya kuna baridi japokua hata kama wengine hawajawahi kufika.
Juzi nilikuwa huko napuru waterfall olgilai huko aise kidogo nilie machozi baridi inakata kama wembeTulipanda kule juu kwa kupitia Mianzini mpaka kwenye Waterfalls tukaenda shukia njia ile ya Mt. Meru, aisee baridi ya kule juu ni hatari Sheikh
Doh, wanaogopa baridi?Kule makete nilisoma chuo cha kati nlistaajabu kuona wadada wa kule wakienda kukata gogo hawatumii maji wa chochote kujisafisha
Kuanzia njia panda ya kwenda Igoma,Simambwe,Mporoto, na Isyonje huo ukanda ni balaa na ndio una tabia nchi ileile ya Makete, hata viazi mviringo hulimwa sana ukanda huo.kitulo hiyo na rungwe ( ntokela)
Kwenye mageti kama Umbwe na vijiji vya karibu kuna watu wengi Tu wanaishi, na baridi maeneo hayo ni single digit centigrade, hatuna Tu vifaa vya kisasa vya kupimia Ila zipo data za zamani zinaonesha maeneo ya Kilimanjaro (sio Mlima) joto linafika -2 Β°C, Iringa lowest recorderd ni 0.Mlimani Kilimanjaro ni sehemu tengefu/hawaishi watu a day to day life kama sehemu tajwa.Kwa hiyo uzoefu wa KLM kileleni ni wa muda mfupi kwa watu wachache yaani watalii na kampani zao tu.Kwa kiasi fulani unao ukweli lakini kiujumla hakuna usahili.
Hapana aisee kule hakuna haja ya fridgeKama ulilia Njombe mjini Makete utakufwaa
Sure Mzee nenda makete Hasa kipindi hiki uone balaa lake tuulize tuliwahi kufika huko Hasa makete na mafinga mkoa WA njombeWabongo kwa kupamba maneno hatari, hili baridi linazungumziwa utasema kama ulaya.
Njombe nomaaSijawahifika Makete kabisa ila Njombe mjini nimefika aiseeeeee ni balaaaa unaweza ukaliaaaa khaaaaa
DooohMufindi huko ni balaa!