Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

wavalishwa pampers mlikuwa upande wa Laanatullahi nyerere na mko naye wakati ameuwa zaidi ya watu elfu 10 alipovamia Zanzibar na kuichukuwa mpka leo tuna suffer . Mwaka 2020 magufuli aliuwa watu Zanzibar ili kumweka Mwinyi madarakani , wavalishwa pampers mlikuwa kimya na hamna Tume iliundwa kuchunguza mauwaji
 
Huyu hana ujanja wa kuwa na mali Europe au USA
Sana sana labda huko South au dubai

Ova
Watu wakatili SA hawaingii labda Dubai hapa si watamaliza hapo hapo Oliver Tambo huyo si anajulikana mazee pana jamaa mmoja alikua anakaba wadogo wanaopita huko Mozambique kuja SA mwaka mmoja nae akajichanganya akaenda akatafute life Durban ndio ilikua mwisho wa maisha yake huko.
 
Hizi ban huwa sielewi

DRC pale Kuna vigogo kama 5 hv wamepigwa ban kuingia US lkn wanaishi vzr tu mpk sasa
 
Huko nawajuwa wadhulumati wengi nao
Walimazwaa

Ova
 
Wangekuwa wanajali wangeacha kupeana vyeo. Kitendo cha kuendelea kupiga pesa za umma kinakupa picha ipi
Ulimuona Makonda alivyokuwa hana cheo akawa analia lia anaviziwa kuuuwawa!?
Sasa hivi akiwa na cheo chake ni kweli ni kama Haina impact, mpaka siku cheo kinapotea unakuwa on your own
 
wanatakiwa wazuiwe wafanyabiashara na wanasiasa ndo linakuwa pigo sio kamanda wa polisi hana impact kwenye uchumi
hapo wanamwambia mkuu wa nchi kazi imekushinda ngoja kwa uwezo wetu tufanye kitu wewe si umeshindwa kuchukua hatua
 
Sasa mtu afanye ukatili TZ , halafu mnamzuia kuingia USA 😀 😀 😀
Ban ya us haiishii hapo, hi huwa inafunga fursa kupata nafasi kuongoza mashirika ya nje kwa namna yoyote ile.
Hii ban ina involve washirika wa US (nadhani unawajua)

Mfano jk angepigwa ban , asingeweza kupata nafasi nje ya tanzania.

So swali langu kabla ya bani alikuwa anaenda us kufanya nn?
 
Then they are too late maana kuifumua misingi ya nchi ili kuua mfumo kristo wameshachelewa. Nchi ikishakuwa labeled democracy there is no going back, wataua watu wata commit genocide in the long run

Nchi itaingia kwenye civil war ( like central africa)
 
Hiyo haitasaidia kitu kabisa, huyo anaweza kubaki Hapa Hapa TZ Hadi kufa kwake na bado akaendelea kutesa watu, kama Sisi tumeshindwa basi wao wanachotakiwa ni kwenda juu zaidi ya huyo Jamaa na hatua Kali zaidi ya kufungiwa kuingia US zichukuliwe maana duniani ziko nchi nyingi nzuri za kuingia na kutoka.
 
Sjaona logic ya maelezo yako in relation to effects za ban.
Ulimuona Makonda alivyokuwa hana cheo akawa analia lia anaviziwa kuuuwawa!?
Sasa hivi akiwa na cheo chake ni kweli ni kama Haina impact, mpaka siku cheo kinapotea unakuwa on your own
 
Mkuu unataka over a night wakamatwe wapelekwe ICC, huu ni mwanzo na ICC ina procedures zake, acha wawe promoted kwa jeuri na kiburi cha boss wao, lkn siku ikifika watakutana na hukumu zao.
Kaka
Nawaza tu kwa sauti ndogo.
Jamaa anaweza kweli akashindwa kwenda USA, which is fine. Lakini hilo likiendelea Wakati huo huo US na TZ bado tunafanya biashara zote muhimu , hii ban inakuwa na faida gani katika kukomesha uvunjwaji wa haki au pooza koo tu hamna lolote .
 

dont be so sure man, hakuna kitu hatari kama adui yako kuwa vitani na wewe halafu (wewe) haujui hata kama mko vitani na ndicho kinachoenedelea sasa hivi, wengi (Christians and others) hawaamini ukiwaambia kwamba muslims are waging war against Christians they think you are crazy wao wanafikiri kwamba ni democracy ni chadema vs ccm ni wenye power against masikini n.k lkn its much deeper than that kwa tuliojisomea historia yadunia na kujielimisha tunaona red flags zote ambazo waliokuwa conqured by muslims walizidharau.

kuna mambo mengi tu sasa yameshabadilishwa bila hata wengi kujua mfano wameomgeza idadi ya muslims tanzagiza sensa iliyopta kwa kawaida muslims tanzagiza historically hawakufika 30% vs Christians >65% leo hii muslims ni >45% (officially) na Christians idadi imeshushwa mpaka >50% wengi labda hawalijui hili na maana yake hasa,sasa hivi wako kwenye elimu wanabadlisha mambo taratibu aliyekuwa anaelewa kinachoendelea alikuwa Kardinali Pengo (RIP) na ndiyo maana walimchukia lkn ameshatangulia, banking industry tayari ni full islamic sharia, karibia wataingia kwenye mahakama tayari majaji wengi ni muslims wako kwa kazi maalumu, khs jeshi letu well ndiyo hivyo tena kwa kifupi wanabadilisha mambo mengi kuwa islamic bila hata ya kujua.

hivyo USA na wengineo wanajua kinachoendelea kwani wana intelligence yao hapa tanzagiza na ndio maana masenata waliongea khs persecution of Christians.

btw nchi zote wanachama wa oic (organization of islamic cooperation) hazikuwa islamic mwanzoni, sasa jiulize nini kilitokea hadi zikawa islamic leo hii na kwa nini useme wameshachelewa hapa tanzagiza ...
 
Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiwe
Huo mwanzo ndugu yangu.
Na hii Ni statement kuwa karibuni Kuna watu watashitakiwa.
Hapo unajua mmowapo Ni huyo walianza kumukea vikwazo.
 
Elewa ban ya Mafwele ni litmus paper tu reactants bado zinakuja.
 
Kwanini unaweka udini kwenye hii issue? Yaani tatizo lenu mnadhani kila anayeitetea palestina na Iran basi automatically ni muislam na anamsupport samia.

Acheni huu utoto, udini hauna connection na siasa za Tanzania adui yetu ni CCM ndio maana awamu zote haya mambo ya utekaji na mauaji yapo.
 
Safi sana, bado muuaji mkuu samauya, Hii ndo itakuwa babkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…