Lissu huko kote alishamaliza kila kitu.Yuko sahihi ukisoma vizuri kaanza na uthibitisho kutokana na majumuisho ya lissu kuwa kesi ilifunguliwa kimakosa ko anaonyesha article ni vifungu vipi vilipelekea wakafungua kesi ko anajaribu kuionyesha mahakama hilo
Katuga na lisu
Hawa jamaa ni pro sana aiseeπππ
Kuanzia Leo neno kilaza au vilaza yasitumike. Badala ya yatumia neno katuga au vikatuga. Kumaanisha kichwani hakuna kitu.Katuga pia anataka mahakama ikinusa tu harufu ya kesi basi iwe imeshashiba kwa kula. Maana yake anataka Isiende kwenye kuthibitisha pasipo na shaka maana ikifanya hivi itakuwa inawaachia wakosaji.
Yan kina Yericko Nyerere nitakuwa nawaita makatuga badala ya vilaza. Tumepata msamiati mpya mjini.
Katuga anapoteza muda, lissu alishamalizaSEHEMU YA 8.
Mahakama ya Rufaa ilirejea Shauri la Jinai la Mwesige Godfrey and Another Vs Jamhuri.
Rufaa ya Jinai Namba 354 ya 2015, TanzLII, 19 February 2015.
Ambapo Mahakama hii ya Rufaa katika kesi hiyo ilirejea kesi ya Camnetti Vs United States, 242 U.S. 470, 227 (1917).
Mahakama ilisema kwamba sheria inatakiwa mwanzo kabisa itafsiriwe kwa lugha yake ambayo imetengeneza.
Na jukumu la Mahakama kuweza kutumia sheria hivyo ilivyo (Plain Meaning Rule).
Waheshimiwa Majaji, kesi hii iliendelea mbele ku-quote maneno yaliyopo katika kesi Mwesige Godfrey:
Connecticut Nat. Bank v. Germain, 503 U.S. 249 (1992).
Waheshimiwa Majaji, kama tulivyoeleza awali, kazi ya hati ya mashitaka ni kumu-inform Mshtakiwa.
Ni msimamo pamoja kwamba Mshtakiwa anaweza kuwa further informed kutokana na aina ya mashitaka yake kutokana na ushahidi utakaotolewa na upande wa Jamhuri.
Waheshimiwa, zipo kesi nyingi za kumfanya Mshtakiwa aelewe mashitaka yake.
Daniel Ruhele Vs Jamhuri, Criminal Appeal Number 201 of 2007, TanzLII, 1 March 2012, TZCA 269.
Katika ukurasa wa 5, though katika kesi hii walikuwa wanaona element moja haijawa cured na ushahidi.
Mbali na mashauri mengi, lakini ni moja ya kesi inaonyesha hata kama hujawa informed na charge, lakini ushahidi unaweza kukufanya ujiandae na utetezi.
Mahakama yenu itaangalia nature ya ushahidi wa Prosecution na utetezi.
Je, wakati anajitetea alikuwa haelewi au alikuwa anaelewa anachojitetea?
PW1 George Bagyemu katika ushahidi wake anaiambia Mahakama kwamba Mshtakiwa alitoa maneno ya kutishia Serikali.
Serikali ambayo jukumu lake ni kulinda sheria, na uchaguzi unatokana na sheria.
Hivyo kutishia uchaguzi ni kutishia Serikali.
Shahidi wa 6, katika ukurasa wa 445, PW16 anaiambia Mahakama hii kwamba maneno yale yanatishia Serikali ambayo ina jukumu la kulinda nchi.
Na maneno hayo yalilenga amani na utulivu.
Na kwamba wenye jukumu la kulinda amani na utulivu...
Katika ukurasa huohuo, shahidi anasema maneno hayo hayakulenga tu kuvuruga amani.
Kwa hiyo Waheshimiwa Majaji, Shahidi PW16 anaelezea kwamba maneno ya Mshtakiwa yatahamasisha uasi na atavuruga uchaguzi.
Ni vitisho dhidi ya Serikali, ambapo ni jukumu la Serikali kulinda hizo sheria.
Ushahidi wa mashahidi hawa wawili unaungwa mkono na ushahidi wa utetezi DW1, Mshtakiwa mwenyewe, katika ukurasa wa 619.
Wakati akidodoswa maswali.
Lakini pia katika ukurasa wa 622, Waheshimiwa Majaji, Mshtakiwa anasema jukumu la maintain order ni la Polisi, na mbele anasema Polisi wanafanya kazi chini ya Serikali.
Waheshimiwa Majaji, ushahidi huu unaonyesha hati ya mashitaka imeeleweka na kumfanya aandae ushahidi wake.
Kwa hiyo ikitokea Mahakama inapenda kujiuliza Executive iliyotumika katika hati ya mashitaka ni wapi, maana ibakie kuwa ni Plain Meaning.
Point muhimu ya Mahakama yenu ambayo tunaomba to consider inaweza kuwa ni kiini cha Kifungu cha 39(2)(d).
Umetumia for the purpose of intimidating the Executive.
Neno lililotumika hapo linamaanisha kama Serikali ilitishika is immaterial.
Waheshimiwa, samahani tunatumia muda mwingi kufafanua hiki kifungu kwa sababu hiki kifungu hakijawahi kutumika.
Sikubaliani na wewe. Hauwezi ukamuhukumu mbwa, hukumu aliemtuma, kama humjui msake NUKTAKuanzia Leo neno kilaza au vilaza yasitumike. Badala ya yatumia neno katuga au vikatuga. Kumaanisha kichwani hakuna kitu.
Ua mbwa ili umjue aliyemtuma.Sikubaliani na wewe. Hauwezi ukamuhukumu mbwa, hukumu aliemtuma, kama humjui msake NUKTA
Hapa nimekuelewa sanaβͺMaoni kuhusu Kinachoendelea leo Mahakamani.
βͺTundu Lissu wakati wa mawasilisho ya mwisho (final submission) yake ameieleza Mahakama kwamba hakuna kosa dogo katika uhaini. β¬
βͺHukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru. Akaitaka Mahakama isiogope kutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi. β¬
βͺTundu Lissu aliwaeleza Majaji kama ushahidi wa Jamhuri unaonyesha kwamba ametenda makosa ya uhaini, Mahakama isiogope kumtia hatiani. β¬
βͺHii ilikuwa ni βpunchlineβ muhimu inayogusa moja kwa moja mzigo wa upande wa Jamhuri kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa.β¬
βͺLakini kama ushahidi hautimizi viwango vya kisheria vinavyohitajika kuthibitisha uhaini, Mahakama isiogope kumuachilia huru.β¬
βͺLeo, katika (final submission) hoja zao kuhusu adhabu, Mawakili wa Serikali wamewasilisha tafsiri tofauti kuhusu sheria inayohusika. β¬
βͺMawakili Serikali wanasema Mahakama imepewa utashi (discretion) kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo kwa kosa. β¬
βͺHoja yao ni kwamba matumizi ya neno βliableβ yanaipa Mahakama discretion kuamua adhabu, badala ya kufanya adhabu ya kifo kuwa lazima β¬
βͺMawakili wa Serikali wamefafanua hoja yao kwa kurejea case law mbili kueleza tofauti ya βshall be sentenced to deathβ na βshall be liableββ¬
βͺHapa kinachoonekama, upande wa Jamhuri kupitia mawakili wa Serikali, hawataki Tundu Lissu akipatikana na hatua anyongwe hadi kufa.β¬
βͺIsipokuwa wanataka Mahakama kumfunga gerezani kifungo cha miaka kadhaa na kuweka βrestrictionsβ za kisiasa kwa Tundu Lissu. β¬
βͺJana, Tundu Lissu aliwaeleza majaji kwamba kama kuna ushahidi donβt hesitate to convict me. Kama hakuna uhaini donβt hesitate to acquit me.β¬
βͺTAL akarejea maneno ya Wakili wa OJ Simpson (Johnnie Lee Cochran Jr) if it doesnβt fit, you must acquit. Kama ushahidi hautoshi, acquit.ββ¬
βͺKosa la uhaini (treason) chini ya Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) linatambulika kama (capital offense).β¬
βͺKosa lenye adhabu moja tu ya lazima (mandatory death penalty): kunyongwa hadi kufa (death by hanging). Hakuna kifungo cha miaka au faini. β¬
βͺTundu Lissu ameiweka Mahakama kwenye njia panda: aidha imtie hatiani kwa adhabu ya kifo au imuachie huru (convict for treason or acquit).β¬
βͺJamhuri inajaribu kuleta tafsiri au mabadiliko ya kisheria kwamba Mahakama ina utashi (discretion) wa kutoa adhabu ndogo zaidi β¬
βͺKulingana na marekebisho ya sheria. Hoja hii ya upande wa Jamhuri inalenga kuipa Mahakama fursa ya njia ya katikati (middle ground).β¬
βͺTundu Lissu ambaye ni mshtakiwa, anatumia mbinu ambayo inaitwa βAll or Nothingβ. Tundu Lissu anakataa adhabu yoyote ya katikati.β¬
βͺTundu Lissu anaieleza Mahakama βconvict or acquit meβ anaiongezea Mahakama mzigo mkubwa wa kimamlaka na kijamii (high stakes). β¬
βͺHapo anasisitiza hukumu ya uhaini lazima izingatie ushahidi uliowasilishwa na kuthibitishwa bila kuacha mashaka (beyond reasonable doubt).β¬
βͺMawakili wa Serikali (Jamhuri) wao wanatumia mbinu ya kupunguza mzigo wa athari kwa jamii (Mitigation of Impact). Hawataki anyongwe.β¬
βͺSerikali inatambua kumhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kunyongwa kutaleta shida kubwa sana kwa siasa za ndani na kimataifa. β¬
βͺNdiyo maana wanasisitiza kwamba Mahakama ina utashi (discretion) ya kuchagua adhabu ndani ya wigo mpana, baada ya TAL kukutwa na hatia.β¬
βͺKifungo cha miaka kadhaa linaiwezesha Serikali kumuondoa TAL kwenye ulingo wa kisiasa bila kuingia kwenye lawama za adhabu ya kifoβ¬
βͺNdiyo Tundu Lissu hataki. TAL anasisitiza, kama ushahidi unathibitisha uhaini, convict. Kama ushahidi haujathibitisha uhaini, acquitβ¬
βͺJamhuri haitaki mhaini wao anyongwe. Wanapendekeza kwa Mahakama, asinyongwe, kwamba apewe adhabu nyingine mbadala.β¬
βͺTuendelee kusikiliza final submission ya Jamhuriβ¬
βͺ
Hudhani nini?Sidhani
kama Katuga anapoteza muda, Lisu alikua anapoteza wakati sio, kulialia na kumbwelambwela kizimbani na makaratasi yake elfu1 yaliyojaa porojo na uongo?Katuga anapoteza muda, lissu alishamaliza
kila kitu, hizo nyama hazina mashiko kuliko hoja za awali za lissu.
Sisi sote tunafahamu kwamba hakuna kesi ya uhaini ila ni mgogoro wa siasa uliovikwa vazi la uhaini, hii hata machawa akina Tlaatlaah wanaelewa.
Ukitishiwa kubakwa, unaogopaga?Hudhani nini?
Hivi we unaona kuna shimo gani alilofukia? Wale mashahidi wa upande wa mashitaka hao cjui PW16 wale ushahidi wao hauna mashiko.Katuga mbona analeta michezo ya kuziba shimo la panya kwa mkate?
Anatengeneza mazingira Lissu akutwe na hatia lakini pia apewe adhabu ambayo haieleweki kwa mujibu wa vifungu vya Sheria za hukumu..!
Chuki kwa binadamu mwenzako zinakusaidia nini wewe?kama Katuga anapoteza muda, Lisu alikua anapoteza wakati sio, kulialia na kumbwelambwela kizimbani na makaratasi yake elfu1 yaliyojaa porojo na uongo?
au huelewi kitu gentleman π
Tundu alisema kabisa mzigo upo mabegani mwa majaji. Akasema wasije wakaingia mkenge wa kuletewa vimiongozo kuwa kuna adhabu ndogo. Either anyongwe au aachiwe huru.βͺMaoni kuhusu Kinachoendelea leo Mahakamani.
βͺTundu Lissu wakati wa mawasilisho ya mwisho (final submission) yake ameieleza Mahakama kwamba hakuna kosa dogo katika uhaini. β¬
βͺHukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru. Akaitaka Mahakama isiogope kutoa hukumu kwa kuzingatia ushahidi. β¬
βͺTundu Lissu aliwaeleza Majaji kama ushahidi wa Jamhuri unaonyesha kwamba ametenda makosa ya uhaini, Mahakama isiogope kumtia hatiani. β¬
βͺHii ilikuwa ni βpunchlineβ muhimu inayogusa moja kwa moja mzigo wa upande wa Jamhuri kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa.β¬
βͺLakini kama ushahidi hautimizi viwango vya kisheria vinavyohitajika kuthibitisha uhaini, Mahakama isiogope kumuachilia huru.β¬
βͺLeo, katika (final submission) hoja zao kuhusu adhabu, Mawakili wa Serikali wamewasilisha tafsiri tofauti kuhusu sheria inayohusika. β¬
βͺMawakili Serikali wanasema Mahakama imepewa utashi (discretion) kutoa adhabu kuanzia kifungo cha miaka sifuri hadi adhabu ya kifo kwa kosa. β¬
βͺHoja yao ni kwamba matumizi ya neno βliableβ yanaipa Mahakama discretion kuamua adhabu, badala ya kufanya adhabu ya kifo kuwa lazima β¬
βͺMawakili wa Serikali wamefafanua hoja yao kwa kurejea case law mbili kueleza tofauti ya βshall be sentenced to deathβ na βshall be liableββ¬
βͺHapa kinachoonekama, upande wa Jamhuri kupitia mawakili wa Serikali, hawataki Tundu Lissu akipatikana na hatua anyongwe hadi kufa.β¬
βͺIsipokuwa wanataka Mahakama kumfunga gerezani kifungo cha miaka kadhaa na kuweka βrestrictionsβ za kisiasa kwa Tundu Lissu. β¬
βͺJana, Tundu Lissu aliwaeleza majaji kwamba kama kuna ushahidi donβt hesitate to convict me. Kama hakuna uhaini donβt hesitate to acquit me.β¬
βͺTAL akarejea maneno ya Wakili wa OJ Simpson (Johnnie Lee Cochran Jr) if it doesnβt fit, you must acquit. Kama ushahidi hautoshi, acquit.ββ¬
βͺKosa la uhaini (treason) chini ya Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) linatambulika kama (capital offense).β¬
βͺKosa lenye adhabu moja tu ya lazima (mandatory death penalty): kunyongwa hadi kufa (death by hanging). Hakuna kifungo cha miaka au faini. β¬
βͺTundu Lissu ameiweka Mahakama kwenye njia panda: aidha imtie hatiani kwa adhabu ya kifo au imuachie huru (convict for treason or acquit).β¬
βͺJamhuri inajaribu kuleta tafsiri au mabadiliko ya kisheria kwamba Mahakama ina utashi (discretion) wa kutoa adhabu ndogo zaidi β¬
βͺKulingana na marekebisho ya sheria. Hoja hii ya upande wa Jamhuri inalenga kuipa Mahakama fursa ya njia ya katikati (middle ground).β¬
βͺTundu Lissu ambaye ni mshtakiwa, anatumia mbinu ambayo inaitwa βAll or Nothingβ. Tundu Lissu anakataa adhabu yoyote ya katikati.β¬
βͺTundu Lissu anaieleza Mahakama βconvict or acquit meβ anaiongezea Mahakama mzigo mkubwa wa kimamlaka na kijamii (high stakes). β¬
βͺHapo anasisitiza hukumu ya uhaini lazima izingatie ushahidi uliowasilishwa na kuthibitishwa bila kuacha mashaka (beyond reasonable doubt).β¬
βͺMawakili wa Serikali (Jamhuri) wao wanatumia mbinu ya kupunguza mzigo wa athari kwa jamii (Mitigation of Impact). Hawataki anyongwe.β¬
βͺSerikali inatambua kumhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kunyongwa kutaleta shida kubwa sana kwa siasa za ndani na kimataifa. β¬
βͺNdiyo maana wanasisitiza kwamba Mahakama ina utashi (discretion) ya kuchagua adhabu ndani ya wigo mpana, baada ya TAL kukutwa na hatia.β¬
βͺKifungo cha miaka kadhaa linaiwezesha Serikali kumuondoa TAL kwenye ulingo wa kisiasa bila kuingia kwenye lawama za adhabu ya kifoβ¬
βͺNdiyo Tundu Lissu hataki. TAL anasisitiza, kama ushahidi unathibitisha uhaini, convict. Kama ushahidi haujathibitisha uhaini, acquitβ¬
βͺJamhuri haitaki mhaini wao anyongwe. Wanapendekeza kwa Mahakama, asinyongwe, kwamba apewe adhabu nyingine mbadala.β¬
βͺTuendelee kusikiliza final submission ya Jamhuriβ¬
βͺ
nawashangaa mihemko na makasiriko kama yote jukwaani, wakati sheria na katiba ya nchi inatekelezwa kama inavyostahili πChuki kwa binadamu mwenzako zinakusaidia nini wewe?
Kama maelekezo yakifatwa.Lissu anafungwa, kila kitu kinajieleza
Ninachoelewa wewe ni chawa na hamna kitu unaweza kuthibitisha kwamba lissu ni mhaini, niaminishe wewe siyo chawa, lete hoja ya msingi ya kisheria hapa.kama Katuga anapoteza muda, Lisu alikua anapoteza wakati sio, kulialia na kumbwelambwela kizimbani na makaratasi yake elfu1 yaliyojaa porojo na uongo?
au huelewi kitu gentleman π
Kina nani hao?nawashangaa mihemko na makasiriko kama yote jukwaani, wakati sheria na katiba ya nchi inatekelezwa kama inavyostahili π
gentleman,Ninachoelewa wewe ni chawa na hamna kitu unaweza kuthibitisha kwamba lissu ni mhaini, niaminishe wewe siyo chawa, lete hoja ya msingi ya kisheria hapa.
Nimeona hapo "shall be LIABLE" anatafuta kukwepa kumuhukumu Lissu kunyongwa..πAnataka pia kupendekeza vijiadhabu vidogo vidogo ili tu kumuondolea TAL credibility kwenye kugombea madaraka ya umma. Yeye alishasema hakuna hiyo! Ni ama umnyonge au umuachie huru. Katuga asilete Ukatuga (Ukilaza) wake kuturubuni hapa.