Uhuru wa tanganyika umeanza kupiganiwa dhidi ya hao walio tuletea dini kabla hata ya sisi kuwa na dini za ukristo na uislamu..kumbuka kuwa hao walio tuletea dini ndiyo walio tupora uhuru wetu ...tumia akili wacha uzuzuUnajua african association (TAA,TANU,CCM)ilianzishwa na nani,wakiwa wapi?ANC ya zuberi mtemvu(kobazi),AMNUT ya sheikh suleiman takadiri (kobazi),kipindi hicho babu zako hawajabatizwa kwa masweta(majoji),chupi za mtumba na peremende
Mkwawa alikua muislam,na maswahiba zake abushiri na bwana kheri,mbano songea jinale abdul rauf mbano songea, suleiman makunganyaUhuru wa tanganyika umeanza kupiganiwa dhidi ya hao walio tuletea dini kabla hata ya sisi kuwa na dini za ukristo na uislamu..kumbuka kuwa hao walio tuletea dini ndiyo walio tupora uhuru wetu ...tumia akili wacha uzuzu
Kwani kobazi hawaruhusiwi kufanya maombi?Wameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
SawaKwani kobazi hawaruhusiwi kufanya maombi?
Chadema ni chama cha watu wote na wanafanya maombi sio kwa ajili ya dini fulani ila kwa ajili ya Watanzania wote.
Hata Kesho waambie Bakwata watoe yao inayoombea HAKI na amani....itasaliwa mahakamaniWameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
Wewe uelewi ninacho sema ...anza hapa uhuru wetu waafrica uliporwa na kina nani ? Je kabla ya uhuru wetu kuporwa hakukuwa na NENO KUPIGANIA UHURU ...na unajua vizuri walio tupora uhuru ni hao hao walio tuletea ukristo na uislamu kama ni hivyo fahamu kuwa watu walipigania uhuru siyo dini ....walio pora uhuru ndiyo walio tuletea dini zaoMkwawa alikua muislam,na maswahiba zake abushiri na bwana kheri,mbano songea jinale abdul rauf mbano songea, suleiman makunganya
Jamaa mbona hatokei jf ili tushushe HOJA na wewe utajua kwanini waislamu walikimbia mzee Mohamed Said ukuje hukuSawa
Vp Muhamed said ameshakuja au bado anavaa kanzu 🙄Ngoja aje
Kubalance mzani ni kazi ngumuKwani kobazi hawaruhusiwi kufanya maombi?
Chadema ni chama cha watu wote na wanafanya maombi sio kwa ajili ya dini fulani ila kwa ajili ya Watanzania wote.
Tibu wazimu kwanzaJamaa mbona hatokei jf ili tushushe HOJA na wewe utajua kwanini waislamu walikimbia mzee Mohamed Said ukuje huku
Tibu wazimu kwanzaWewe uelewi ninacho sema ...anza hapa uhuru wetu waafrica uliporwa na kina nani ? Je kabla ya uhuru wetu kuporwa hakukuwa na NENO KUPIGANIA UHURU ...na unajua vizuri walio tupora uhuru ni hao hao walio tuletea ukristo na uislamu kama ni hivyo fahamu kuwa watu walipigania uhuru siyo dini ....walio pora uhuru ndiyo walio tuletea dini zao
Hatuna haja,wimbo wa taifa unataka Mungu aibariki africa na tz,haikutaja Mungu yesu wala AllahHata Kesho waambie Bakwata watoe yao inayoombea HAKI na amani....itasaliwa mahakamani
Au siyo,sala ya katoliki ndiyo ya watu wote!!Kwani kobazi hawaruhusiwi kufanya maombi?
Chadema ni chama cha watu wote na wanafanya maombi sio kwa ajili ya dini fulani ila kwa ajili ya Watanzania wote.
Lete inayotaja allah onekama haitsaliwa hapo mahakamaniHatuna haja,wimbo wa taifa unataka Mungu aibariki africa na tz,haikutaja Mungu yesu wala Allah
Hatuna haja, endeleeni tuLete inayotaja allah onekama haitsaliwa hapo mahakamani
Niliwauliza maswali waislamu wenzio kwanini harakati haswa za kudai uhuru zina onekana zaidi baada ya nyerere kupewa majukumu je kabla ya nyerere zipo wapi harakati za hao waislamu haswa zilizo fanyika na zilizo fanyika vipi ...tuonyesheni aswa ginja nginja walizo fanya hao waislamu miaka chini ya 10 kabla ya NyerereTibu wazimu kwanza
Tuonyeshe harakati haswa za kupigania uhuru ndani ya hivyo vyama ulivyo vitaja kabla ya Nyerere kujiunga ...nataka unionyeshe harakati au wana harakati maana lazima wangejulikana hata mandera wa SA alijulikana hata kabla ya kuwa rais....hao wazee walikuwa awajulikani hata nje ya wilaya moja tu ndiyo unatuambia ni wana harakati ...kwa nini harakati haswa zinaonekana baada ya Nyerere kujiunga na hivyo vyama ? Ujiulizi?Wewe utajadili nini na huyo mzee na umejaa umburula kichwani!?..uliisikia hotuba ya nyerere na wazee wa dar?!.. alikua mkristo peke yake,mara moja moja akija... wengine wote waislam,unakuja wewe umechambia tishu unatembea na kashata makalioni unabishabisha kijinga
Nyerere kaenda TAA lini?..akina waikela(tabora),mpunga(lindi),mshume kiyate,tambaza walifanya harakati lini?..tungepata uhuru 1953 sawa na ghana, mkoloni kila akitazama anaona vibaraghashia tu,akasubiri apate kibaraka mvaa msalabaNiliwauliza maswali waislamu wenzio kwanini harakati haswa za kudai uhuru zina onekana zaidi baada ya nyerere kupewa majukumu je kabla ya nyerere zipo wapi harakati za hao waislamu haswa zilizo fanyika na zilizo fanyika vipi ...tuonyesheni aswa ginja nginja walizo fanya hao waislamu miaka chini ya 10 kabla ya Nyerere
Tuonyeshe harakati haswa za kupigania uhuru ndani ya hivyo vyama ulivyo vitaja kabla ya Nyererr kujiunga ...nataka unionyeshe harakati au wana harakati maana lazima wangejulikana hata mandera wa SA alijulikana hata kabla ya kuwa rais....hao wazee walikuwa awajulikani hata nje ya wilaya moja tu ndiyo unatuambia ni wana harakati ...kwanini harakati haswa zinaonekana baada ya nyerere kujiunga na hivyo vyama ? Ujiulizi?