Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hiyo ni poor mindset mkuu, That are not low cost mzee baba. Katika miaka hii a lady aweze kuji handle kidogoUkiamua kuwa nae sacrifice yourself...otherwise mwache, tafuta wa low cost😜
Mkuu unataka wanawake tuwe tunapanua tu miguu kama vichaa? Tafuta mwanamke wako mmoja tongoza akikaa kwenye laini atakupanulia mpaka utamchoka mwenyew! Kama unaenda kama unanunua inakuwa ngumu lazima upigwe vzr tu!Kumpata huyo ambaye sio mchonyo wa pussy ndio kazi ilipo,,mimi kwenye kutoa hela sinaga shida,ila wanawake kupanua migui duhh ni kazi kwelikweli
Rich simps wamewaendekeza. Mwanamke anaona kwanini afanye kazi wakati aki-type sms ya kuomba elfu 10 na kui-foward kwa masimp 12 waliopo kwenye phonebook yake hakosi 80K ya bure kabisaNi kwa nini hawataki mawazo mazuri kama haya na mtaji unampa?
Ni kweli hata mimi nilipitishwa Lubumbashi(sikuwa najua ndio wanapojiuza), inatapisha wallah! Ila kila mtu na standards zake!!Mwezi uliipita nilikuwa mbezi kikazi nililala lodge wiki tatu. Sasa wikiend ya kwanza tu nikasema niende lubumbash maana sijawahi kufika nimepasikia tu kwa miaka mingi sana. Nikamwambia bodaboda atangulie mimi namfuata nyuma.
Aisee nimefika pale sikuweza kunywa hata bia moja. Huku nje nikaona wauza utamu wa direct wamejipanga. Kwa kweli kupiga wale inahitaji moyo mgumu sana.
Nikamwambia boda nipeleke sehemu nyingine. Akanipeleka QB. Nikaona pale pamekaa vizuri. Nikakutana na wenyeji wakanielekeza kuna bar inaitwa kingachi nayo imetulia. Wiki zote tatu. Maeneo yangu ya kumwagilia moyo ndio yalikua hayo hayo kingachi na QB
Kama hana akili ataenda kuitafuna yote halafu kesho aombe tena nyingine...Ulitaka hiyo 500k akafanyie nini?
Na kweli tunazidiana upeo!Kama hana akili ataenda kuitafuna yote halafu kesho aombe tena nyingine...
Unakuwa na mwanamke hata vocha ya Shilingi elfu Moja anunue sms za mwezi mzima Hana 🤔
Wanataka kupewa kwa ajili ya kutumia, weka 500k kwa simu yake, aende mlimani city akafanye manunuzi ila sio kumuwezesha. Japo wapo wachache, ila wengi wanataka wapewe tu throughout. Bahati mbaya dunia ya kibepari inamtaka hata mwanamke akatoe jasho.
Unakuta ni mtu mzima kabisa mkuu ila anashindwa hata kununua vocha ya Shilingi elfu MojaUna tongoza wanafunzi ama?
Niambie rafikimin-me
Pamoja sanapoa kabisa
Ukweli ni kuwa wanaume wengi tunatongoza wadada wanaotuona tuna sura nzito, ndo maana vilio vya kupigwa mizinga haviishi humu jf.. SeranUnatafuta asiye mchoyo wa 🐱
tafut bas mshangaz maana hutaki gharamaNampa za nini kama sijamuoa? Kwanza sitaki wanawake ombaomba toka ujanani!!
Nina miaka nishaavuka huko, waambie hao madem zenu wanao hit sasa hivi
Sura nzito wanatoa sana kuliko hawa beautiful boys😀Ukweli ni kuwa wanaume wengi tunatongoza wadada wanaotuona tuna sura nzito, ndo maana vilio vya kupigwa mizinga haviishi humu jf.. Seran