Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

wapi ofisin kwa sizonje hapatamaniki huko . ni mwendo wa mateke . viti havitamaniki
bawacha kwani makamo wa rais alikwenda kenya kwa niaba ya nani?
 
Baada ya hapa tutaona wanafiki kibao wakianza kwenda Nairobi, akiwemo Faru Ndugai na Naibu wake Fausta!
 
Huyu mama ni kondoo anayelazimika kufanya kazi na mbwamwitu
 
TL kamshukuru sana mh. Rais sasa leo haya makarai sijui yatasema nini na da'Mange wao.
 
Akihojiwa na gazeti la Financial Times Lissu amemtaja Rais Magufuli ndiye mhusika mkuu wa kushambuliwa kwake.
 
Mimi ni Mkristo ila tumezidi kwa Roho mbaya na kudhuru .. Waisilamu Swafi wana utu na wanachukia sana kumhudumu mtu..wanapenda haki na wanathamini sana wengine.. Nilikuwa Pemba nilijifunza mengi sana..

Kweli mkuu, hat mimi ni Mkristo ila saa zingine baadhi ya wakriso tuna roho mbaya sana. Hatuuishi Uktristo wetu kabisa kama maandiko yanavyotaka. Saa zingine ni bora kutenda matendo ya huruma, kuliko kukesha kanisani ukiwa na roho mbaya.
 
Kwani hospitali angeenda kumuona Mbowe au mgonjwa?

Lisu kajiandikisha leo ubalozini?
Mke wa Lisu ni mwasheria hajui hiyo procedure? Yeye kama angekuwa hana muda kwa kuwa anauguza alitakiwa awashijikize akina mbowe Msigwa,godless Lema nk kuwa acheni kuuza sura hapa Nairobi bebeni documents zangubns za mgonjwa na zenu mkasajili ubalozini.Acheni kuuza sura Nairobi.Hivi miezi yote Mbowe na Mchungaji Msigwa cha maana walichokuwa wakifanya nini zake ya kujiipiga selfie na kubomoa ruzuku? Kupeleka documents tu ubalozini hawakupeleka
 
Ahsante Mama Samia, iache Pombe iendelee kuvunda!!
 
Asante mama kwa kuonyesha uungwana, umeonyesha roho ya mama kweli
 

..hapana.

..balozi alikuwa na taarifa TL anapelekwa Nairobi.


..alitakiwa atoe ushirikiano mara moja bila kuchelewa.


..hata ktk hali ya ubinadamu tu balozi hawezi kusubiri ofisini wakati anajua kuna kiongozi ameletwa ktk kituo chake cha kazi na yuko mahututi.

..hoja yako ni kana kwamba balozi hawezi kujua kuwa Tundu Lissu yuko Nairobi na hawezi kumsaidia mpaka apelekewe paspoti ubalozini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…