Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
......Safi sana Mama,utu kwanza siasa baadae.
.....umeonaeeehh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......Safi sana Mama,utu kwanza siasa baadae.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.
View attachment 639832
View attachment 639833
Ni wewe kweli ?Safi sana Mama,utu kwanza siasa baadae.
Unafikiri ni nani ? Huwezi nielewa mimi. Maana wewe ni Chadema. Mimi sio Chadema wala CCM. Mimi ni mtanzania huru katika maoni yangu.Ni wewe kweli ?
Lakini hilo lijamaa halina shukrani.Hakika mama Samia Suluhu Hassan ni kiumbe aliyejawa na utu na huruma kwa watanzania.
Hii picha hapo chini inajionyesha kabisa kuwa yeye ni tofauti na wenzake.
Mungu akubariki mama yetu.View attachment 1200985
Kumbuka huyo ni mama na anatumbo la uzazi anayajua machungu ya kumlea mtoto hadi kufika hatua aliyo ifikia lisu , kwa mama hiyo ni kazia kubwa sana na yenye maumivu makali sana na ndio mana alitoa choziHakika mama Samia Suluhu Hassan ni kiumbe aliyejawa na utu na huruma kwa watanzania.
Hii picha hapo chini inajionyesha kabisa kuwa yeye ni tofauti na wenzake.
Mungu akubariki mama yetu.View attachment 1200985
Kabisa !
Lakini hilo lijamaa halina shukrani.
Ni kwa vile unamchukia tu wakat hakuna baya alilo wahi kukufanyia wewe binafsiLakini hilo lijamaa halina shukrani.
Kumbuka huyo ni mama na anatumbo la uzazi anayajua machungu ya kumlea mtoto hadi kufika hatua aliyo ifikia lisu , kwa mama hiyo ni kazia kubwa sana na yenye maumivu makali sana na ndio mana alitoa chozi
Ni kwa vile unamchukia tu wakat hakuna baya alilo wahi kukufanyia wewe binafsi
Bado lijamaa linadai eti serikali haijawahi kulijulia hali.Ni kwa vile unamchukia tu wakat hakuna baya alilo wahi kukufanyia wewe binafsi
Bado lijamaa linadai eti serikali haijawahi kulijulia hali.
Wewe ni kiroboto.Mbwa mwitu wewe
Wewe ni kiroboto.
Huyu bi mkubwa namkubali sana..