Ila watoa huduma nao wana mahitaji na maisha, sio watawa.Jamani kazi nyingine ni kutoa huduma kwa jamii ukitaka kuwa tajiri kama musk ingia kwenye biashara
Wewe ndio unasema hayupo
Kuamini kwamba Mungu yupo japokuwa haonekani kwa macho kunahitajika Imani na kukubaliana na kilichoandikwa kwenye Biblia kwamba ni Neno la Mungu napo pia yataka imani.Yani Mungu aweze kuumba mbingu na dunia, halafu amuumbe binadamu, then Mungu aombe pesa kwa binadamu? Na hizi pesa si ni Man made? Ukitumia common sense huoni hapo dini zote ni Utapeli mtupu?
Hivi vitabu kuna verse watu wameingiza project zao binafsi siyo kweli, Mungu hawezi kumtegemea binadamu wakati ana uwezo wa kusema iwe na ikawa.
Kwa ujumla mishahara haikidhi haja za wafanyakazi, si sahihi!Katiba mpya ili kuhakikisha wote hao wanalipwa vizuri na kupunguza za wanasiasa.Hapo serikalini ulipo Kuna ...
Masijala wanapokea 300k
Mwanasheria 700k
Mwalimu 400k
Wewe 800k UNALIA?
#YNWA
Dini zinaenezwa kwa misingi ya kuwajaza hofu wajinga.Kuamini kwamba Mungu yupo japokuwa haonekani kwa macho kunahitajika Imani na kukubaliana na kilichoandikwa kwenye Biblia kwamba ni Neno la Mungu napo pia yataka imani.
Mimi sina namna nyingine ya kukufanya ukubali/uamini kwamba kilichoandikwa hapo juu kuhusu zaka ni Mungu mwenyewe kaagiza. Ila Ninachojua kwa uhakika ni kwamba ipo siku utakuja kufahamu kuwa hayo kweli ni maagizo ya Mungu, iwe ni kwenye maisha ya hapa duniani au ahera. Ila maombi yangu kwa Mungu ni kwamba akusaidie kuujua ukweli ukiwa hapa duniani, hiyo itakuwa ni faida kubwa kwako. Kinyume na hapo ukifika wakati sentensi kama hii inatamkwa........"laiti ningejuwa......" Hapo sasa inabaki majuto tu.
Mbaya zaidi nguruwe hao wanaodai anaupiga mwingi !!!Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Toshekeni na mishahara yenu... 😁😁Na sisi walinzi tunaolipwa 120,000/= tufanyaje......????
Nakupata na naelewa sana bruhHoja sio kua tajiri ,hoja ni kuweza angalau kuishi kama binadamu hapa dunian ,broo imagine huyu mwamba anayechukua hio jiwe 8 anafamilia na bafo tegemezi wako kibao sijui unanielewa lakini broo sijui unanielewa?
Kwa 800k si haba ukizingatia serikali haifanyi biashara kila mtu akitaka kiwango anachotaka yeye sisi huku wanyonge wa hali ya chini huduma zitakosekana pesa zote mtabeba waajiriwa 😀Ila watoa huduma nao wana mahitaji na maisha, sio watawa.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Labda kama unakula pumba unakunywa mikojo na unatumia kibatari hivyo havifiki laki nneKodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Thread closed...Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Kawekeza yule...acha apate maokoto...ngilimba wanazopitia na hela zinavyowatoka kpind cha uchaguz c mchezo..!!Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Mkuu; usimtukane bali muoneshe kwamba laki nne kwa hesabu la kawaida kabisa nyumbani ni kweli ukweli usiopingika HAITOSHI kujikimu hata nusu mwezi - labda ujiongeze.Wewe ni mpumbavu
Full stop!
Kwa hiyo anatumia fedha ya kodi zetu kulipia madeni yake? Dah!Kawekeza yule...acha apate maokoto...ngilimba wanazopitia na hela zinavyowatoka kpind cha uchaguz c mchezo..!!
Na kuipata ni km 20 kwa bodabodaKuna sehemu inaitwa Ruanda Mbinga mkoa wa Ruvuma, bia 2500 na bidhaa nyingine kila unayoijuwa wewe basi ongeza 500 juu.
Ukiwa TAMISEMI lazima upokee mshahara wa kifal (a)Tutorial assistant wa sociology kasoma three yrs anakula 1.8m,
Dini zinaenezwa kwa misingi ya kuwajaza hofu wajinga.
Jaribu kukaa na wanazuoni ambao theology imelala utaelewa dhahiri Kamba na fix tunazopigana na kujazana hofu, fear of unknown.
Mungu hawezi kuomba pesa kwa binadamu.