Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Nasubiria majibu mujarabu kutoka kwa mwamba Lisu
 
Nimeeeshangaa sana mkuu.

Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.

Huyu kuna kitu anatafuta
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.
 
Nimeeeshangaa sana mkuu.

Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.

Huyu kuna kitu anatafuta
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.
 
Wewe
Mtu akupe tuhuma nzito kama hzo ukae kimya kwamba ndo uungwana.Lissu kama ana ushahidi auweke hadharani na wengine tumuamini tofauti na hapo namuona kama mtu mwenye msongo.
Wewe unamwamini hiyo muuaji? Unafahamu siku Lisu anashambuliwa kwa risasi chini ya usimamizi wa Bashite akiwa Dodoma hotel, Dar kulikuwa kunaendelea na nini?

Hivi uliwahi kuona Rais yupo kwenye shughuli maalum mkoani mwako, halafu RC asiwepo? Maelezo yake atawaokota wendawazimu wenzake. Wakati Hayati Magufuli akiwa kwenye tukio la kupokea taarifa maalum ya tume aliyoiunda kuhusu Almasi, jijini Dar, Bashite hakuwepo Dar, wala hakushiriki kwenye tukio hilo la Rais, badala yake alikuwa Dodoma akisimamia ushetani wa kutaka kuondoa uhai wa Lisu, mjini Dodoma. Na mara baada ya tukio, aliondoka Dodoma kuelekea Dar, huku gari lililotumika, Nissan patrol wakilichoma motobaada ya kufika Morogoro.

Huyu shetani muuaji, damu za watu zitamfuata mpaka kiama.
 
Huyu ni muhusika mkuu wa tukio la Lisu

Lisu alishambuliwa saa saba mchana, yeye alikuwa wapi muda huo?
 
Ni kweli Mh Lissu anafahamu Sheria vizuri. Kamwe hawezi kutoa tuhuma nzito hadharani bila kuwa na ushahidi.

Kama umeweza kufyatilia kikao chake kile kwa makini, ni wazi ameandaa kwajili ya kujisafisha/kujitetea kwa kila tuhuma zilizowahi kutolewa dhidi yake. Hata Wauliza maswali walipangwa. Kwa aina ya maswali na majibu yake. Ila Mungu hadhihakiwi.
 
Nimeeeshangaa sana mkuu.

Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.

Huyu kuna kitu anatafuta
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.
 
Makonda kawasha moto mwenyewe asije akashindwa kuuzima. Watz sio wasahaulifu wala wajinga. Asante sana Mkuu. Be Blessed.
 
Makonda ndio ajipange vizuri kwenda kutoa utetezi wake Mahakamani. Na siyo mbele ya raia ili kupata huruma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…