Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.Nimeeeshangaa sana mkuu.
Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.
Huyu kuna kitu anatafuta
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.Nimeeeshangaa sana mkuu.
Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.
Huyu kuna kitu anatafuta
Wewe unamwamini hiyo muuaji? Unafahamu siku Lisu anashambuliwa kwa risasi chini ya usimamizi wa Bashite akiwa Dodoma hotel, Dar kulikuwa kunaendelea na nini?Mtu akupe tuhuma nzito kama hzo ukae kimya kwamba ndo uungwana.Lissu kama ana ushahidi auweke hadharani na wengine tumuamini tofauti na hapo namuona kama mtu mwenye msongo.
Kigamboni sidhani kama watakubali waongozwe na muuaji!!Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.
Huyu ni muhusika mkuu wa tukio la Lisu
Lisu alishambuliwa saa saba mchana, yeye alikuwa wapi muda huo?Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
Iwe au isiwe viashiria vya yeyote kuhusika, unaonaje ukijibu hayo maswali ? Au yamekosa majibu.Hivi ulivyoandika ni viashiria kuwa kapigwa risasi na Makonda?
Huyo anaweza kwenda Nyamagana huko kigamboni akafanye nini porini!Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.
Ni kweli Mh Lissu anafahamu Sheria vizuri. Kamwe hawezi kutoa tuhuma nzito hadharani bila kuwa na ushahidi.Hivi Makonda anafikiria kila mtu ni mjinga. Akae akijua wazi kwamba huenda ikawa TAL kajitokeza hadharani sababu anao ushahidi tosha wa tukio hilo. Labda Ushahidi huo utakuwa unamlenga mtuhumiwa bwana Makonda moja kwa moja. Huenda tutaona nani kati yao atakuwa mgonjwa wa akili.
Wala usiwe na wasiwasi ushahidi utapelekwa Mahakamani.Auweke hadharani huo ushahidi
Anatafuta kiki ya ubunge wa Kigamboni mkuu.Nimeeeshangaa sana mkuu.
Hela za kuwaleta waandishi wote hao kutoka Daslam kwenda Arusha, i hope sio kodi za wananchi.
Huyu kuna kitu anatafuta
Makonda kawasha moto mwenyewe asije akashindwa kuuzima. Watz sio wasahaulifu wala wajinga. Asante sana Mkuu. Be Blessed.Yawezekana msongo kwa maoni yako yanayoheshimiwa. Lakini uko tayari kujibu maswali muhimu yote kwa niaba ya mkuu unayemtetea ? Kwa nini uling'oa CCTV camera zote ? Kwa nini mliondoa askari wote siku ya tukio. Kwa nini mlipiga marufuku watu kuvaa ti-shirts za sura yake Wala kumuombea,? Kwa nini mlimfuta ubunge eti ni mtoro wakati mnajua aliondoka Dodoma to Nairobi to Belgium akiwa hajitambui kwa risasi zenu,. Kwa nini zipo zaidi ya 10 na wengine wanaendelea ?
Makonda ndio ajipange vizuri kwenda kutoa utetezi wake Mahakamani. Na siyo mbele ya raia ili kupata huruma yao.inawezekana Makonda amehusika au hajahusika. Hata kama alikuwepo Dodoma siku ya tukio haimaanishi kwamba alihusika. Inahitajika ushahidi mkubwa zaidi ya kuwepo Dodoma siku ya tukio ili kumtuhumu Makonda kwamba alihusika. Lakini kwasababu Makonda anasema hakuwepo Dodoma siku ya tukio, basi Lissu anapaswa kurudi kwa chanzo chake cha habari na akajipange upya.
Alisema eti kwasababu ya kupinga ushoga. Mpuuzi tu huyo.Mbona hakusema kwanini alipigwa marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani?
Mbona hakusema kwanini alipigwa marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani?
Nani anasema ukweli kati ya Makonda na Lissu?Makonda ndio ajipange vizuri kwenda kutoa utetezi wake Mahakamani. Na siyo mbele ya raia ili kupata huruma yao.
Mahakama pekee ndiyo itakayothibitisha.Nani anasema ukweli kati ya Makonda na Lissu?
Nani anayetakiwa aende mahakamani?Mahakama pekee ndiyo itakayothibitisha.
Shoga pompeo hawezi patana na MakondaAnamaanisha pia Pompeoz alikuwa na matatizo ya akili kumpiga ban ya kuingia states of....?