AahaasaaNi jambo jema π
Lucas and Ephen Ndoa Arusha ππ₯
Machalii wa chuga wanajulikana hata aende marekani miaka 10 akirudi bado ni yechu yechu ,huoni ata dogo janja kabadilika kila kitu kasoro MenoUnathibitishaje mtu sio mkazi? Maana wachagga wengi wapo Dar
Hapana nchi hujengwa kwa kugusa sekta zote,hizo ni fursa za ajira pia zitafaidisha raia kwaiyo kusoma kutakuwa sawa tu usiogope walaHii ndio shida ya nchi kuongozwa na Darasa la Saba, Jiji la Arusha shule za hapo tu kati kati ya jiji zimechoka mbaya ila mjinga anakuja na mawazo ya kijinga jinga.
Asante Sana mkuuπKaribu Arusha
Wazimu wa watu.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo.
Makonda amesema hayo wakati akiongea na Wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoani Arusha leo July 08,2024 ambapo amesema lengo ni kuvutia zaidi Wageni na Watalii kufika Mkoani Arusha ili kuwa chachu ya kukuza uchumi wa Mkoa huo.
βLengo letu sisi ni hatutaki kuwa na high season au low season, tunataka kutengeneza shughuli na matukio mbalimbali kuhakikisha kuwa muda wote uchumi unakuwa na kuendelea ili Mama wa mboga, bodaboda na kila Mtu anufaike na ugeni unaofika hapa Arushaβ
====
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
π€£π€£π€£
Nikutarajie lini huku?Asante Sana mkuuπ
Aim mall msizidi 70,,π€£π€£π€£
Aim mall patatufaa
Kwakua mimi nimeshakua forena toka dar, ndoa yetu itafungiwa huko nchi za mbali Chugastan.Aim mall msizidi 70,,
M mall pakibabe,, iko Moshono, au gari zenu hazina mafuta ya kufika Moshono πππ
Najua hela ya mchango itapungua sababu ukumbi bureπ€£ so itakayobakia tutaongezea mafutaAim mall msizidi 70,,
M mall pakibabe,, iko Moshono, au gari zenu hazina mafuta ya kufika Moshono πππ