Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Haya ndio mambo ya kijinga hayatakiwi kuletwa hapa JF, Ndugai alishatangaza hatagombea tena ubunge wewe umetoa wapi taarifa za kijinga hizi?
 
Huu ni uzushi wa hali ya juu.

Cheo cha Uspika wa bunge ni kikubwa kuliko hata Waziri mkuu, utampa cheo gani tena?
Pili Job alishatangaza muda mrefu kuwa 2025 hagombei ubunge haya yametoka wspi?.

Kumbuka: ukifikia cheo cha;
Jaji mkuu
Waziri mkuu
Spika wa bunge;
Huwezi kugombea ubunge wala kupewa uwaziri...hiyo ni dimosheni.
Danganya mengine lskini haya bora ukacheze REDE
 
Kama nakumbuka vizuri Mzee Sitta baada ya kutokuwa spika alipelekwa wizara ya Ushirikiano wa Afrika mashariki ( kipindi cha pili cha JK).
 
Aliondoka Lowasa na akasahaulika Huyo job na paul ni akina nani?

Labda kama wewe ndio Paul umeamua kujitabiria sawa.

Job na Paul sasa wamekuwa marafiki......wanakaa tenga mojaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Je hayo malipo anayopewa kila mwezi hayamtoshi!!
 
Kusema hatogombea ubunge ilikuwa ni kauli ya kisiasa, wala sio ya kuiamini kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…