Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!


Pumbavu kabisa
 
Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amepokelewa na maelfu ya watu kwa usafiri wa ngamia amewaambia watendaji wa serikali kuwa makini na pesa za umma kwani chama ndicho kina dhamana ya kuongoza nchi.

Hadi sasa katika hilo amefafanua kwamba kama serikali inaleta fedha kwa ajiri ya miradi halafu miradi haitekelezwi basi chama hakitakuwa tayari kulea watendaji wa namna hiyo mfano mzuri amesema itakuwa ni aibu kwa watendaji wa chama kupita sehemu yoyote kwa kuzomewa kwa sababu ya watu wachache wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma huku miradi ikikwama amejiapiza kwamba watendaji hao yeye hatawavumilia Zaidi ya kuwashitaki kwa mwenyekiti wa chama kwa kuwa mheshimiwa Raisi ndiye mwenye dhamana kwa sasa ya kuongoza nchi.
 
HUNA HATA AIBU MTU MZIMA HOVYO!
 
Alaaa! Nimependa jinsi ulivoelezea sifa zake hasa Ile ya kuwa hapendi dhuluma. [emoji113][emoji113][emoji113]
 
Jpm ametifundisha siasa wanazopenda watz!


Watz tunataka mfuatiliaji asie lala !na yeye makonda ametumwa kurudisha imani ya chama kwa wananchi baada ya mama kwenda hiyo Kanda na hakuna hamasa iliyoonyeshwa!!

Watz wanamuona JPM ndani ya makonda!!

Wamechelewa sana kumteua!!
 
Hii ni ile methali isemayo!"Mchawi Mpe Mwanao Amlee!...."
Team Msoga ni wajanja sana!
Wamekwisha piga Pesa za kutosha na kukamilisha yale ma-deal yote yaliyo kuwa yame kwamishwa na Mzalendo JPM!

Ikiwemo Gesi ya LNG, BANDARI na upigaji mwingine wote uliokatiziwa njiani ikiwemo IPTL nk!
Usisahau mfano wa Ufisadi wa kivuko cha MV Magogoni....

Sasa wanakiacha chama chakavu kwa wananchi kupitia ulaghai wa Paul Makonda ili wapambane wenyewe kukisafisha kuelekea 2025!

Makonda ametumika kama mbeleko ya kuwaita Pro-Magufuli waliokwisha jitenga na CCM- Kinana na Nape Nnauye kwa Remote ya Msoga na Bumbuli.
 
Sasa kama mwenye mji hajulikanialipo kwanini makondrahh asiwe maarufu😂😂😂msiwape uongozi wazee wastaafu,miaka sabini,na kashkash za uongozi wapi na wapi🤣🤣🤣
 
Mda mwingine msijizime DATA.
Hayo yooooote sawa,lakini ni watendaji WA Serikali ipi haswa!.
Hayo yote matatizo,ni mazao ya uongozi wa CCM tangia miaka hiyo.
Subirini siku ikitoka madarakani ndo mtajua hamjui.
Msijifanye kana kwamba ni maajabu.
Afu mtu kumsifia kiongozi wa CCM tunamwona Kama mwendawazimu tu kiufupi.
 
Fisi mnapanda kwenu tu siyo kanda ya ziwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…