Huyu Mwamba, tumuache, yaan tumuache , huenda akawa kiongozi wa kawaidaa sana, alotoka familia ya kimasikini sana, lakini ndio akawa kiongozi mwenye Kupendwa na Watu kumshinda Hata Magufuli mwenyewe !!.
Huyu Jamaa ziara yake ,Hana Msanii Wala nn, ila watu wanamfata ,maelfu Kwa maelfu.
Aina yake ya Uongozi, ni aina ya Uongozi wa Damuni, sio wa kutengeneza, ana Karama ,ana nyota ya Kupendwa.
Huyu mtu anaongea unaona kaongea Kiongozi ,ana maoni makubwa, hapendi dhuluma, ni mtu wa haki, haongei uongo Wala kusingizia
Kwa namna hii, Nape na Makamba ni lazima wamuonee Wivu...
Ilimchukua Makamba kutumia mitungi ya Gesi, na Bado akakoswa umati wa watu, Tena akiwa WAZIRI.
Leo hii Makonda, mwenezi lkn anajaza namna hii watu?.
Mungu akiwa pamoja nawe, hamna aliye juu yako.