Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

Wote tumeshuhudia kazi kubwa na njema inayofanywa na mwenezi wa CCM komredi Makonda tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.

Napenda kuwaalika wote wenye Mapenzi Mema na Taifa letu karibuni katika uzi huu wa Ushauri kwa kiongozi wetu huyu.

Ushauri wenu utafanyiwa kazi kwani ukimshauri komredi Makonda ndio umekishauri Chama.

Mungu wa Mbinguni awabariki.😀

Karibuni!
🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1723990895014392071?t=INhzNjPGSIRRIYAU301czQ&s=19
 
Jamaa anaipoteza chopa kwa kuingia na usafiri wa wanyonge

Wanyonge wamepata mtu wa kuwasemea
 
Tunahitaji kuwa na tawi kubwa la chama tawala kwa diaspora wetu waliopo Marekani. Tunamkaribisha hapa Washington DC katibu wetu wa itikadi aje alete hamasa.
Karibu 🎅
 
Huyu Mwamba, tumuache, yaan tumuache, huenda akawa kiongozi wa kawaidaa sana, alotoka familia ya kimasikini sana, lakini ndio akawa kiongozi mwenye Kupendwa na Watu kumshinda Hata Magufuli mwenyewe.

Huyu jamaa ziara yake, hana Msanii Wala nn, ila watu wanamfata, maelfu kwa maelfu.

Aina yake ya Uongozi, ni aina ya Uongozi wa Damuni, sio wa kutengeneza, ana Karama ana nyota ya Kupendwa.

Huyu mtu anaongea unaona kaongea Kiongozi, ana maoni makubwa, hapendi dhuluma, ni mtu wa haki, haongei uongo wala kusingizia.

Kwa namna hii, Nape na Makamba ni lazima wamuonee Wivu.

Ilimchukua Makamba kutumia mitungi ya Gesi, na Bado akakoswa umati wa watu, Tena akiwa WAZIRI.

Leo hii Makonda, mwenezi lkn anajaza namna hii watu?

Mungu akiwa pamoja nawe, hamna aliye juu yako.
 
Screenshot_20231113-133414.png
 
Ungezungumzia mambo ya Karama aliyojaliwa. Hilo halina ubishi.

Ila hili la kusema haongei uongo na hapendi dhuluma, ungeacha.
 
Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.

Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi.

Jaribu kutumia Fisi kama usafiri huko utakuwa mwamba usiotikisika milele, ataua kabisa upinzani ndani na nje ya chama maana hautakuwa mjanja tu bali mbabe kitaifa.

Usipuuze ushauri wa kambi ya fisi.
Nonsense
 
Ukweli ndiyo huo.
 
Huyu Mwamba, tumuache, yaan tumuache , huenda akawa kiongozi wa kawaidaa sana, alotoka familia ya kimasikini sana, lakini ndio akawa kiongozi mwenye Kupendwa na Watu kumshinda Hata Magufuli mwenyewe !!.

Huyu Jamaa ziara yake ,Hana Msanii Wala nn, ila watu wanamfata ,maelfu Kwa maelfu.

Aina yake ya Uongozi, ni aina ya Uongozi wa Damuni, sio wa kutengeneza, ana Karama ,ana nyota ya Kupendwa.

Huyu mtu anaongea unaona kaongea Kiongozi ,ana maoni makubwa, hapendi dhuluma, ni mtu wa haki, haongei uongo Wala kusingizia

Kwa namna hii, Nape na Makamba ni lazima wamuonee Wivu...

Ilimchukua Makamba kutumia mitungi ya Gesi, na Bado akakoswa umati wa watu, Tena akiwa WAZIRI.

Leo hii Makonda, mwenezi lkn anajaza namna hii watu?.

Mungu akiwa pamoja nawe, hamna aliye juu yako.
...CHAWA Utawajua TU !!....[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Tondogoso
Buyenzegele
Dindi
Jolowe
Dede
Jiji
Suludi
Ngubalu
Upulu
Ukoma
Nhundwa
Mitunga
Shing'weng'we

MASALA KULANGWA
 
Back
Top Bottom