Alikwenda na cheo akaacha nyarakaUnapokwenda kufanya transfer wizarani baada ya kuuziana huendi na karatasi ya mauzo unakwenda na hati ya kiwanja!! Je Makonda alipewa hati ya kiwanja alipokuwa ananunua?
Ndugu yangu wee.. kwani unadhani kati ya wanaochangia hapa kuna hata anaejua hilo ghorofa liko wapi au linafanana vipi, achilia mbali kuwa na picha?? 🤣🤣🤣🤣 We hujawajua waswahili..??Mbona mna kigugumizi kuweka PICHA ya hilo ghorofa?
Kwa documents za Aina hii ajiandae kufunguliwa Kesi ya KUGUSHI NYARAKAKwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
🤣😅🐕🦺😂😆Bora awe mpole tu, maana sasa anasaidia kukusanya kuni pasipo kujua yeye ndio mboga inayoenda kuliwa.
Mkubwa gani nchi hii anamzidi Kikwete.. Sukuma Gang acheni kutiana ujingaKwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Alimpa" bure" au alimuuzia? Kama alimpa bure kwa kazi gani au wema gani? Kama alimuuzia ni sh ngapi na bank gani walifanya hizo transaction? Mnataka kumtetea mporaji makonda, aliedhulumu mali za watu kwa kutumia cheo chake. Ni muda sasa wa kuzitapika!Kosa la makonda ni kutokufanya transfer kwa wakati.
Jamaa wametumia hiyo loophole kumtingisha.
Ila kama signature za GSM ni authentic na alisaini bila kushurtishwa.
Basi Makonda ana haki.
Na mkubwa mwingine ni kingwenduu..
Si mpaka anidhuru mimi directly basi ndo nianze kumkataa..!!! Ziara zake za mkoa wa Dar si tunajua alichofanya..!! Mkutano wake na walimu wa Dar tunajua alichowaambia wale walimu.. Style za mwendazakeWewe ni mtu, tuanze nawewe alikufanyia nini? Au ndo zile tabia za kimasikini za kufata mkumbo wa chuki.
Sasa umeandika nini wewee kapuku?Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea.
Kwa ninavyowafahamu wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho.
Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi.
Kila la kheri
Sema kwa bahati mbaya, hili halina cha DPP ameamua kuacha kuendelea na kesi..Lazima mwisho ujulikane.Si kila kitu cha kuweka wazi hata kama unatumia ID fake boss wangu ila jua kwa ufupi kuna kambi mbili zinavutana maana hili la Makonda ni mnyonyoro mrefu mno linagusa hadi taasisi pendwa.
Hivyo tutulie tuone mambo yatakavyokwenda
Hao walimu wanashindwa nini kumshughulikia? Hao walimu wanshindwa nini kuita wandishi wa habari waseme waliyotendewa?Si mpaka anidhuru mimi directly basi ndo nianze kumkataa..!!! Ziara zake za mkoa wa Dar si tunajua alichofanya..!! Mkutano wake na walimu wa Dar tunajua alichowaambia wale walimu.. Style za mwendazake
Semenya unachekachrka hovyo tuuAisee nimecheka hadi walinzi wangu wameshtuka.!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na mbeleko ya chuma, hata akiitoboa yeye mwenyewe haitoboki...Hao walimu wanashindwa nini kumshughulikia? Hao walimu wanshindwa nini kuita wandishi wa habari waseme waliyotendewa?
Waliofanyiwa hayo mnayoyajua wapo au wamekufa? Mwendazake hayupo na makonda hana cheo, wanangoja nini kumuwajibisha?
Wengi walipata walichostahili kupata ndomana wamekaa kimya, sasa sisi mashabiki ndo tumeachwa tuongee.
Waliotendwa watoke hadharani waseme wenyewe, walitendwa nini, kwa sababu zipi, wamechukua hatua gani
NamsaidiaDocuments halali zitaamua nani mmiliki halali wa hicho kiwanja na mjengo.
Mpaka sasa GSM kaweka hadharani uhalali wa umiliki wa kiwanja na mjengo.Makonda aka Bashite atumwagie documents zake na si vinginevyo.