TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

Nacho jiuliza je hiyo gari ilikuwa ni zile za kuundwa bodi za Arusha? Mbona imesambaratika hivyo?
 
Pole nyingi sana kwa familia, mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema amjalie pumziko jema na furaha ya milele.

Ni bahati mbaya sana vyombo vyetu hivi vya usafiri tunavyo vitumia kwa mantiki ya kurahisisha baadhi ya mambo na kufanya maisha yawe na furaha vimegeuka na kutususababisahia maumivu na ugumu wa maisha.

Kama tukijaaliwa heri kununua magari magumu ili likitokea la kutokea athari ziwe ni ndogo.
 
...Habari za Kifo' cha Ghafla, Sote tunakuwa Faint- hearted.
Hakuna Shujaa wa Habari ya Kifo' cha Ghafla kinachotokana na ajali kama Hiki.
Wote tunapaswa kuwa Faint- hearted [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…