Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Uzinzi ni ishu za Spirit zaidi yaani pepo au jini la ngono ulilonalo.
Tafuta elimu ya kuoa ukiwa nayo utampa mwema
Mimi nimeoa ila sina ndoa , akileta nyokonyoko natimua mara moja bila kupepesa macho navuta mama nyingne , na huyo mpya akitaka tufunge ndoa nikimuuliza ataje faida kumi ambazo nitazipata nikiwa na ndoa na ww ,akishindwa jibu nampotezea akilazimisha napiga chini navuta nyingne , kama ni spirit na mapepo yananiepusha na ndoa ili afya yangu ya akili iwe sawa yaendeleee tu wala sina shida nayo.
 
Hakuna watu wa hovyo kitabia kama wanandoa. Ni marafiki zetu,ni ndugu zetu tunajua tabia zenu jmn. Najiulizaga huu umalaika wa wanandoa huwa unatoka wapi humu mitandaoni?? Mbona mambo ni tofauti kabisa kwa ground??!
 
Kama kuna madunga nyembe yamejificha kwenye hii kampeni ya kataa ndoa , tuyape pole kwa sababu wakataa ndoa tunakula mbususu tu tena zile nzuri nzur ambazo zina mashepu matata , ambazo waliopo kwenye ndoa waliziona sio wife material, wakaenda kuchukua wenye sura za kiume kisa hawana ujanja , wakataa ndoa wote tunakubali mfumo dume ambao ukirudi madunga nyembe tutayaua hadharani , madunga mengi yamejificha kwenye mfumo wa haki sawa ambao huo huo, ndo unaendesha sheria nyingi za ndoa kwa sasa.
 
Toka lini shoga akaoa?
Huwa hamuwezi kujibu hoja za wakataa ndoa kwa nini wanakataa ndoa?

Ninyi mnatumia ushoga kama kichaka cha kujificha, kukwepa kujibu hoja za wakataa ndoa..

Kuna wanandoa pia ni mashoga vilevile..na wapo wasio oa sio mashoga...

Kila mtu anatumia ushoga kama "defence mechanism" ya kukwepa kujibu hoja za kupinga ndoa..

Hamu angalii sheria za ndoa mnang'ang'ana na ushoga.
 
Upeo wako mdogo kumbe!
Kwa taarifa yako nna watoto zaidi ya wawili na "naichakata" kisawasawa ila sina mpango wa kuoa leo wala kesho labda mnipe faida ya ndoa nje ya sex, vinginevyo #KATAANDOA
Suala la wewe kuolewa ni suala la muda tu, ila ikiendelee kukaza fuvu lazima uolewe.
 
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.

Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria

Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania

Ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu.
Ndoa ya wake wengi.
Ndoa hizo zinaweza kusheherekewa kufuatana na misingi na taratibu za kidini, kimila au kiserekali, kushuhudiwa na watu wasiopungua wawili na kusajiliwa kwa mujibu wa sheria.

Hatua za kuchukua kabla ya ndoa kufungwa

Lazima taarifa ya nia ya kufunga ndoa itolewe siku 21 kabla ya ndoa kufungwa, kama kutakuwa na mwenye pingamizi budi litolewe itoe kabla ya ndoa kufungwa
Majina ya wale wanaotarajia kufunga ndoa, umri, majina ya wazazi wao na mahali wanapoishi yatajwe.
Tamko kwamba wanaotarajia kufunga ndoa hawana uhusiano unaokatazwa kisheria kufunga ndoa
KUSAJILI NDOA

Ndoa inaweza kufungwa Kiserikali au kwa madhehebu ya Kikristo au Kiislam au kufuatana na mila na desturi za wale wanaofunga ndoa.

Msajili wa ndoa atatoa cheti cha ndoa. Kila Ndoa inapofungwa lazima iwe na mashahidi wawili

Mambo ambayo sheria ya ndoa inakataza katika suala zima la kuoa au kuolewa

Mwanamke na au mwanaume kuolewa/kuoa bila ridhaa yake mwenyewe
Mwanamke na mwanaume wenye undugu wa damu kuoana
Mwanamke na mwanaume kuoana kabla ya kutimiza umri unaoruhusiwa kisheria (kwa mwanaume miaka 18 na kwa mwanamke miaka 18 au 15 kwa idhini ya wazazi/mlezi wake)
Kuoana watu wa jinsia moja
Mwanamke na mwanaume kutaka kuoana kwa mkataba wa kipindi maalum.
Haki za mume na mke katika ndoa

Wote wana haki ya kumiliki mali kama nyumba, shamba n.k. kwa majina yao binafsi;
Wote wana haki ya kutoa idhini katika uuzaji au kwa pamoja kuweka dhamana mali yoyote ya familia;
Wote wana haki ya kuishi katika nyumba ya familia iwapo mume/mke amemkimbia;
Mke ana haki ya kupewa matunzo yake na ya watoto wakati wa ndoa au iwapo mume amemkimbia, wameachana kwa amri ya mahakama. Na mume ana haki ya kupewa matunzo iwapo ana ulemavu hawezi kujiingizia kipato kutokana na ulemavu au ugonjwa wake;
Wote wana haki ya kutokupigwa na au kufanyiwa ukatili wa aina yoyote;
Wote wana haki ya kupeana unyumba;
Wote wana haki ya kutumia mali ya ndoa;
Wote wana haki kuomba amri ya talaka.
Ukomo wa ndoa Ukomo wa ndoa uko wa aina mbili:

Kifo cha mwanandoa mmoja wapo
Talaka ambayo imetolewa na Mahakama pekee pale inapojiridhisha kwamba kuna sababu ya msingi kufanya hivyo.
Baraza la usuluhishi la Ndoa

Baraza la usuluhishi la Ndoa, ni baraza lililoanzisha na kifungu 102 cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, sura ya 29 kama sheria zilizopitiwa mwaka 2002, kwa madhumuni ya kusuluhisha wanandoa ambao wanaingia kwenye migogoro ya Ndoa. Kazi za Baraza la Usuluhishi la Ndoa:-

Kusuluhisha Wanandoa walioko kwenye Ndoa baada ya kupokea lalamiko toka kwa mmoja wapo wa Wanandoa
Kutoa hati maalum kuthibitisha kuwa suluhu imeshindikana na kuelekeza wanandoa kwenda Mahakamani kwa amri zaidi.
MUHIMU: Mahakama peke yake ndiyo ina mamlaka ya kutoa amri ya kutengana au talaka

Sababu zinazopelekea au kuishawishi mahakama kuvunja ndoa:-

Uzinzi kati ya wanandoa
Ukatili kati ya wanandoa au watoto wa ndoa
Dharau au kupuuza kulikokidhiri dhidi ya mwenzi
Kumtelekeza mwenzi kwa zaidi ya miaka mitatu Pale mwenzi anapofungwa kifungo cha maisha au kwa kipindi kisicho pungua miaka miaka mitano
Ikiwa mwenzi ameugua ugonjwa wa akili na imedhibitishwa na daktari kwamba hakuna uwezekano wa kupona.
Kubadili dini baada ya ndoa kufungwa pale wanandoa wote walikuwa wakifuata imani ya dini moja.
Haki za wanandoa zinazoambatana na amri ya talaka

Mgawanyo wa mali za ndoa /familia
Matunzo ya mke Hifadhi na matunzo ya watoto
Kizuizi cha kutobugudhiwa
Kuoa/Kuolewa tena
Fidia ya uzinzi
Gharama za kuendesha Shauri la Talaka
Haki ya Mgawanyo wa mali za familia/ ndoa Mali yoyote ambayo imepatikana wakati wa uhai wa ndoa na kwa nguvu na au machango wa pamoja wa wanandoa.

Iwapo mali iliyopatikana na mwanandoa mmoja wapo kabla ya ndoa au kwa nguvu zake mwenyewe lakini imeboresha/imetunzwa na mwanandoa mwingine mali hiyo itatambulika kama mali ya ndoa.

Lakini kama kuna mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja amempa mwanandoa mwenzake kama zawadi, mali hiyo itakuwa ya yule aliyepewa pekee.

Aina za mchango

Kutekeleza kazi nyumbani hasa kutunza familia; mfano kuosha vyombo, kupika, kufua nguo, kubeba maji na kazi zingine zinazofanana na hizo kwa maslahi ya familia.

Kutunza mali za ndoa: mfano kufyeka, kulima, kuvuna shamba, kufanya marekebisho ya mali za ndoa kwa maslahi ya familia.

Mchango wa fedha wa mwanandoa katika kununua mali.

Haki ya Matunzo ya mwanandoa

Jukumu la kutoa matunzo kwa mke na watoto ni la mume, jukumu hilo litatekelezwa wakati wa uhai wa ndoa na baada ya talaka.

Haki ya Hifadhi na matunzo ya watoto

Hifadhi ya watoto hutolewa kwa mume au mke au mtu baki (mlezi) hasa kwa kuzingatia ustawi na maslahi ya wale watoto. Zaidi ya hayo, mahakama pia inaweza kuzingatia yafuatayo:

Umri wa wale watoto, mfano, watoto walio chini ya miaka saba kipaumbele cha hifadhi hupewa mama mzazi; labda kama kutakuwa na sababu za msingi za kuto fanya hivyo. Mfano kama mama mzazi ana matatizo ya kiakili, anaishi katika mazingira hatarishi.

Mazingira ya mahali watakapoishi watoto, mfano, kama mazingira ya upande mmoja ni hatarishi kwa ustawi wa mtoto, basi haki ya hifadhi atapewa mzazi mwingine bila kujali umri.

Matakwa ya wazazi wa mtoto nani kati yao angependa kupewa hifadhi ya watoto

Mila na desturi za jamii ambayo wanandoa wametokea.

Kama mtoto anaumri zaidi ya miaka saba na ana uelewa wa kutoa mapendekezo yake, basi matakwa/maoni yake yatasikilizwa zaidi.

Haki ya hifadhi ya mtoto haimnyimi mzazi mwenza haki ya kumuona na au kumtembelea mtoto/watoto. Haki ya hifadhi ya mtoto haiondowi jukumu la baba kutoa matunzo.
Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA

Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa uwazi

Hili jambo ni kama fasheni yenye mass hallucination ndani yake! Itapita lakini inaweza kuacha madhara kwa wengine hivyo hatuwezi kukaa kimya

Haya ndio makundi yao

1. Wasiojiamini..
Hawaamini kama wanaweza kutunza mke kutokana na story za vijiweni
Hawaajiamini kama wanaweza kumridhisha mwanamke kitandani
Hawajiamini kama wanaweza kutulia kwenye ndoa bila kuwa na vimada
Hawajiamini kwamba watapendwa na hawawezi kusalitiwa!

2. Wenye kasoro za kimaumbile
Wanaojihisi ni vibamia
Wanaojihisi hawawezi kumpa mwanamke ujauzito
Wasiotahiriwa
Wagumba kwa ithibati

3. Waathirika kisaikolojia
Kutokana na makuzi mabaya
Kutokana na malezi mabovu
Waliolelewa na walezi katili
Walioathirika na punyeto
Walioumizwa kimapenzi
Waliosalitiwa

4. Wasela na wakaa geto
Maisha hayajasimama
Wanaishi kwa kuungaunga
Wasiopenda majukumu

5. Wenye kasoro za kijinsia
Mashoga wa kujificha (mchicha mwiba)
Madomo zege
Wenye ulemavu uliojificha

6. Wapenda kitonga, dezo
Wanaolelewa na wake za watu
Wanaotunzwa na mashangazi
Wanaopenda vya bure toka kwa yeyote
Wapenda shortcut
Wavivu wasipenda kujishughulisha
Wapenda starehe

7. Bendera fuata upepo
Wanashadadia tu kwasababu fulani kasema
Wanafuata mkumbo kwakuwa fulani yumo
Wanadhani ndio usasa na ndio ujanja

Washauri wao wakuu
Walioshindwa kuhimili changamoto za ndoa
Walioachwa, waliopigwa kibuti
Walioharibu kwenye ndoa zao
Wapotoshaji

Nisiandike sana ngoja niweke kituo hapa
Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa, umeweka zaidi vijembe.
 
Hii ni mada ya tano ama ya sita naandika kuhusu ndoa.. Na muktadha ulikuwa kuyataja makundi na si kufanya uchambuzi wa faida na hasara za ndoa.. Kama ungezingatia kichwa cha habari usingeandika haya
kama muktadha ilikuwa ni kuyataja makundi,basi hujayataja ipasavyo,
wengi ambao wanapinga ndoa sio Mashoga kama ulivyotaja hapo juu,

kundi kubwa ambalo linakataa ndoa ni lile linalopinga kuhusu sheria zinavyowabeba wanawake na kuwakandamiza wanaume,

mkuu kubali tu umeandika kwa mipasho sana bila kuzingatia weledi katika mada husika
 
Hii mada najua kwa 100% watakao sapoti ni wanawake maana wanajua kwamba sheria za ndoa zina wa "favour" wao....[emoji1]

Tatizo si ndoa, Tatizo ni hizo sheria za ndoa zilizopo zinazo "favour" upande wenu zaidi na kukandamiza uhuru wa Mwanaume...

Mkitaka ndoa mkubali "mfumo dume"
Unfortunately kila ukinikoti unakosea, kwanza nikurekebishe kuwa mimi siyo ke'
Pili ndoa nilibahatika miaka mingi iliyopita and I can't complain.
Tatu naungana na wewe kwa point moja kuwa feminism ni moja ya tatizo kwenye ndoa na hii imepelekea ndoa nyingi kuvunjika na kuzalisha watu kama kina Joyce Kiria.
Kikubwa vijana waache kutafuta slay queen, mwanaume ukiwa smart vya kutosha siku chache tu unajua hakuna kitu uchape lapa.
 
Nakupa asilimia mia moja zote umepata, ila kwenye kibamia ondoa, kibamia kinafanya kazi vizuri tu hata kikikutana na shimo refu pana kinatia mimba. Ni kweli waliosalitiwa wanazolewa na kampeni hizi kukataa ndoa. Huu ni upande mmoja wa kiume, je upande wa kike nao wanakataa ndoa? Upande wa kike ndio walioanza kukataa ndoa baada ya kujiona wana uwezo wa kiuchumi japo watoto wanapata kiholela, ndio hawa ma single mother. Wanapenda mapenzi lakini kuishi maisha ya ndoa hawataki na hakuna aliyeandika kukataa kwao, sasa wameibuka wanaume wakataa ndoa kwa sababu zao za msingi wanaonekana ni wa ajabu. Kwanza kwa ujumla maadili ya kijamii na kidini yameshuka. Dini zilisisitiza ndoa iheshimiwe na watu wote lakini hayo maadili yameporomoka. Kama watoto walizaliwa wakaishi na mzazi mmoja watatamani vipi wakati hawakuona umuhimu wake? Single mother ni wa kulaumiwa kulea watoto wa kiume na kike peke yao wakati si wajane, waliozaa nao wapo hai. Huu ushenzi umeanzia kwa wanawake wanaojiona wana uchumi imara kulea peke yao.
 
Nakupa asilimia mia moja zote umepata, ila kwenye kibamia ondoa, kibamia kinafanya kazi vizuri tu hata kikikutana na shimo refu pana kinatia mimba. Ni kweli waliosalitiwa wanazolewa na kampeni hizi kukataa ndoa. Huu ni upande mmoja wa kiume, je upande wa kike nao wanakataa ndoa? Upande wa kike ndio walioanza kukataa ndoa baada ya kujiona wana uwezo wa kiuchumi japo watoto wanapata kiholela, ndio hawa ma single mother. Wanapenda mapenzi lakini kuishi maisha ya ndoa hawataki na hakuna aliyeandika kukataa kwao, sasa wameibuka wanaume wakataa ndoa kwa sababu zao za msingi wanaonekana ni wa ajabu. Kwanza kwa ujumla maadili ya kijamii na kidini yameshuka. Dini zilisisitiza ndoa iheshimiwe na watu wote lakini hayo maadili yameporomoka. Kama watoto walizaliwa wakaishi na mzazi mmoja watatamani vipi wakati hawakuona umuhimu wake? Single mother ni wa kulaumiwa kulea watoto wa kiume na kike peke yao wakati si wajane, waliozaa nao wapo hai. Huu ushenzi umeanzia kwa wanawake wanaojiona wana uchumi imara kulea peke yao.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA

Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa uwazi

Hili jambo ni kama fasheni yenye mass hallucination ndani yake! Itapita lakini inaweza kuacha madhara kwa wengine hivyo hatuwezi kukaa kimya

Haya ndio makundi yao

1. Wasiojiamini..
Hawaamini kama wanaweza kutunza mke kutokana na story za vijiweni
Hawaajiamini kama wanaweza kumridhisha mwanamke kitandani
Hawajiamini kama wanaweza kutulia kwenye ndoa bila kuwa na vimada
Hawajiamini kwamba watapendwa na hawawezi kusalitiwa!

2. Wenye kasoro za kimaumbile
Wanaojihisi ni vibamia
Wanaojihisi hawawezi kumpa mwanamke ujauzito
Wasiotahiriwa
Wagumba kwa ithibati

3. Waathirika kisaikolojia
Kutokana na makuzi mabaya
Kutokana na malezi mabovu
Waliolelewa na walezi katili
Walioathirika na punyeto
Walioumizwa kimapenzi
Waliosalitiwa

4. Wasela na wakaa geto
Maisha hayajasimama
Wanaishi kwa kuungaunga
Wasiopenda majukumu

5. Wenye kasoro za kijinsia
Mashoga wa kujificha (mchicha mwiba)
Madomo zege
Wenye ulemavu uliojificha

6. Wapenda kitonga, dezo
Wanaolelewa na wake za watu
Wanaotunzwa na mashangazi
Wanaopenda vya bure toka kwa yeyote
Wapenda shortcut
Wavivu wasipenda kujishughulisha
Wapenda starehe

7. Bendera fuata upepo
Wanashadadia tu kwasababu fulani kasema
Wanafuata mkumbo kwakuwa fulani yumo
Wanadhani ndio usasa na ndio ujanja

Washauri wao wakuu
Walioshindwa kuhimili changamoto za ndoa
Walioachwa, waliopigwa kibuti
Walioharibu kwenye ndoa zao
Wapotoshaji

Nisiandike sana ngoja niweke kituo hapa
Mkuu niishie kusema tu, hii ndio poste yangu bora kwa mwezi huu.
Ulicho kisema ni kweli tupu yani.
 
Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunakaa naye vikao mara kwa mara, sasa majuzikati kajichanganya akaoa! Hivi sasa kila weekend lazima aje kwangu anipe sim niongee na mke wake nimuombee ruhusa!!!
Nimemwambia weekend hii ndo mwisho atafute njia nyingine ya kutoka kwake au atulie na familia yake aenjoy (kama mnavyodanganyana) maana ndo maisha aliyochagua.
Story ya kutunga hii.
Acha uongo uwende mbinguni.
 
Nakupa asilimia mia moja zote umepata, ila kwenye kibamia ondoa, kibamia kinafanya kazi vizuri tu hata kikikutana na shimo refu pana kinatia mimba. Ni kweli waliosalitiwa wanazolewa na kampeni hizi kukataa ndoa. Huu ni upande mmoja wa kiume, je upande wa kike nao wanakataa ndoa? Upande wa kike ndio walioanza kukataa ndoa baada ya kujiona wana uwezo wa kiuchumi japo watoto wanapata kiholela, ndio hawa ma single mother. Wanapenda mapenzi lakini kuishi maisha ya ndoa hawataki na hakuna aliyeandika kukataa kwao, sasa wameibuka wanaume wakataa ndoa kwa sababu zao za msingi wanaonekana ni wa ajabu. Kwanza kwa ujumla maadili ya kijamii na kidini yameshuka. Dini zilisisitiza ndoa iheshimiwe na watu wote lakini hayo maadili yameporomoka. Kama watoto walizaliwa wakaishi na mzazi mmoja watatamani vipi wakati hawakuona umuhimu wake? Single mother ni wa kulaumiwa kulea watoto wa kiume na kike peke yao wakati si wajane, waliozaa nao wapo hai. Huu ushenzi umeanzia kwa wanawake wanaojiona wana uchumi imara kulea peke yao.
Kabisa mkuu tatizo si ndoa, Tatizo ni wanawake wenyewe na sheria za ndoa.
 
Back
Top Bottom