Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Mwanamke Na Shetani ndio Chanzo cha Dhambi wao Tabja zao zinafanana Hawaridhik na Mipaka waliyonayo. Kataa Kuoa ila Akija Geto ishi nae Akiondoka Vuta Mwingine.
 
Nchini Marekani Sheria zina wa favour sana wanawake, Kiasi kwamba ukimtusi, au kumpiga mkeo, Akapigia simu polisi haijalishi yeye ndio ana kosa au wewe,

Unakamatwa wewe mwanaume na kufunguliwa mashtaka.

Ndio maana Marekani ndoa nyingi sana zinavunjika...mfano mdogo ndoa ya msanii "Kanye West" sheria zilivyo mbana nisha[emoji1]

Na sasa mambo haya haya ya kuwapa kipaumbele wanawake yamefika Afrika kuja kuwabana wanaume ....

Rejea wimbo wa Gabby Makula uitwao "Baba paroko"
[emoji445]Naleta mashitaka kwako baba paroko, Naleta huko huko kanisani Eeeeeeeh, Mimi na mama ya watoto kivumbi na jasho [emoji445][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dunia imebadilika , zile thinking ways za miaka ya 70 itafikia kipindi zitawatoka tu ,ni suala la muda .Kama sio wewe ni mtoto wako .
Suala la kuona ndoa ndio umemaliza maisha ,
Unafeli sana We mzee
 
Ndio ,tatizo watu waangalia juu juu tu , hili suala la vijana wengi kuwa resentful na masuala ya ndoa linasababu zake nyingi sana na moja wapo ni hilo la haki sawa , uchumi wa vijana wengi ni mbovu usioweza himili majukumu ya kutunza familia nk
 
Dunia imebadilika , zile thinking ways za miaka ya 70 itafikia kipindi zitawatoka tu ,ni suala la muda .Kama sio wewe ni mtoto wako .
Suala la kuona ndoa ndio umemaliza maisha ,
Unafeli sana We mzee
Ahahahahahah Mshana anwzingua anaforce kua positive kwenye kila jambo, Mambo zingine aga tu hazibadilishwi ila zishapitwa na Muda.
 
Mwanamke Na Shetani ndio Chanzo cha Dhambi wao Tabja zao zinafanana Hawaridhik na Mipaka waliyonayo. Kataa Kuoa ila Akija Geto ishi nae Akiondoka Vuta Mwingine.
Halafu wakati wa uchumba unakuta mwanamke anaficha makucha yake....

Aki ingia kwenye ndoa kwa vile anajua sasa sheria zinamsapoti ndio huanza kuonyesha makucha yake rasmi...
 
Mnatubeza bila kutusikiliza
Mnatutukana bila kufikilia

Wanawake wa sasa wanamtzamo tofauti kabisa wa maisha na wanawake wa kizazi chenu

Vijana wengi wanamajonzi mioyoni mwao hawana sehem ya kusemea wazee wako busy, vijana wanamatatizo makubwa kuhusu mahusiano mengi sana,
Kundi la rafiki zangu karibia wote wanawatoto na wameumizwa na wanawake waliowazalisha kwa kukimbia na vitu

Ukioa ukifilisika ndani ya miezi sita huma mke, zamani ilikuwa kawaida mama kuhudumia familia saaa hakuna

Kuna mengi ya kusema ili kukaa hapa na kubeza kutokana na heshima uliyojiwekea humu ndani si sahihi
 
Halafu wakati wa uchumba unakuta mwanamke anaficha makucha yake....

Aki ingia kwenye ndoa kwa vile anajua sasa sheria zinamsapoti ndio huanza kuonyesha makucha yake rasmi...
Kuoa na Kuolewa ni Fainali mmoja anawin mmoja anapoteza, Mwanamke akiolewa ni Fahali ila Mwanaume kuoa ni UJINGA.
Ni bora ulenge nje ya Goli kuliko kumpa Penalti Kipa. 2023 AD unaoa Serious?
 
Wazee walimudu ndoa kwa vile walitumia Mfumo Dume...

Hiki kizazi cha hawa wanawake ma feminists, , ma super woman, wanao taka haki sawa na "Fifty Fifty" watasubiri sana.....
 
Kuoa na Kuolewa ni Fainali mmoja anawin mmoja anapoteza, Mwanamke akiolewa ni Fahali ila Mwanaume kuoa ni UJINGA.
Ni bora ulenge nje ya Goli kuliko kumpa Penalti Kipa. 2023 AD unaoa Serious?
Wakitaka ndoa ziendelee kuwepo kampeni za feminism, haki sawa, fifty fifty, zisitishwe.

Turudi kwenye mfumo dume. Hakuna mwanaume ata acha kuoa.

Kuupinga mfumo dume kwamba ni ukiukwaji wa haki za binadamu na kusapoti u feminism, kwamba ni haki kwa wanawake kuna shusha ile status ya mwanaume kama Baba kichwa cha familia.
 
Afu haya Mambo yameanza Enzi za akina Yesu na Paulo baada ya Kuona Moto wa Akina Samson hauzimiki. Bora ufunge ndoa na Pete ya Utajiri ila sio hawa Ng'ombe.
 
Tatizo si ndoa.

kwani hujawahi kuona watu wanaishi familia na hawajafunga ndoa?

Tatizo ni sheria za ndoa za sasa zina wa favour sana wanawake.
Sheria zipi za ndoa zina wafavour wanawake?
Mimi nafahamu kwa Tz kuna aina tatu za ndoa nazo ni ndoa ya kimila,kidini na kiserikali.
 
Siti ya mbele kabisa
wangel
wanasema wanawake walio kwenye ndoa wengi hawaridhishwi na wanaume wengi wanalea watoto sio wao.....na hawa wanolewa wanavileta kwa wahuni ni inasikitisha
 
Halafu wakati wa uchumba unakuta mwanamke anaficha makucha yake....

Aki ingia kwenye ndoa kwa vile anajua sasa sheria zinamsapoti ndio huanza kuonyesha makucha yake rasmi...
Ndio wengi wanafanya hivyo akishaingia ndani hakuna rangi utaacha kuziona hususani akishajua udhaifu wako ni nini umekwisha habari yako, wengi hutafuta matobo (loop holes) ya kuanzisha varangati inahitaji umahiri wa hali ya juu kuishi na mwanamke pasua kichwa,
 
Nakazia hapo palipowekwa bold kwa hio bunge liitazame upya sheria kandamizi ya Ndoa, huku wanawake wanasema sheria hio hio inawakandamiza wakati inawabeba vibaya mnoooo yaan sheria hio imetungwa kwa ajili ya kuwanufaisha wanawake tu na sio vinginevyo na hapo hapo utasikia wanataka 50 kwa 50

Yaan sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 last update ilifanywa 2002 sasa ni 2023 hakuna updates zozote miaka zaidi ya 21 sheria limebaki kukandamiza wanaume tu

Nachelea kusema
#KATAANDOA #NDOANIUTAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…