Nchini Marekani Sheria zina wa favour sana wanawake, Kiasi kwamba ukimtusi, au kumpiga mkeo, Akapigia simu polisi haijalishi yeye ndio ana kosa au wewe,
Unakamatwa wewe mwanaume na kufunguliwa mashtaka.
Ndio maana Marekani ndoa nyingi sana zinavunjika...mfano mdogo ndoa ya msanii "Kanye West" sheria zilivyo mbana nisha[emoji1]
Na sasa mambo haya haya ya kuwapa kipaumbele wanawake yamefika Afrika kuja kuwabana wanaume ....
Rejea wimbo wa Gabby Makula uitwao "Baba paroko"
[emoji445]Naleta mashitaka kwako baba paroko, Naleta huko huko kanisani Eeeeeeeh, Mimi na mama ya watoto kivumbi na jasho [emoji445][emoji23][emoji23][emoji23]