Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi
kwenye mihogo jee?
kuna mama mmoja saa kumi na mbili asubuhi mihogo ishaiva watu wanapata chai wakati wengine mihogo haijaiva uwa najiuliza huyu mama kaamka saa ngaapii au kaweka kituu!
 
Kwa dawa zinavyotoa harufu inamaana mtu hauisikii ile harufu ya dawa wakati ukila?.

Sidhani kama hili ni la kweli.
 
Back
Top Bottom