Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi
Ni vizuri ukaanza kujipikia mwenyewe maana huku nyumbani pia tutaanza kuweka panadol ili kubana matumizi.ya gesi na mkaa😀
Ndo maana kila nikiumwa kichwa kisha nikala chakula ulichopika napona ghafla🤣🤣
 
Mama ntilie ata kama ni kutafuta hela kuweni na huruma Kwa wateja wenu jamani
 
Hadi kwenye visinia? Sasa itakuaje
 
Kwa hiyo na wao huwa wanakula vyakula hivyo walivyoviweka Panadol?
 
Kama ni kweli basi hatua zichukuliwe kwa wanaofanya hivyo.

BAADHI YA MAMA LISHE SIO WATU WAZURI KABISA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kweli tupu, wafanya biashara huwa baadhi hawajali afya za wengine, hata pengine huwa tunakulaga paka na mbwa!
 
Unaweza kuona huumwi mara kwa mara ukajiona uko fit kumbe kila siku upo kwenye dose ya pain tranquilizers bila kujua !!
Kuku wa kisasa nao wanakuzwa na dose ya Arv !!! Yaan mpaka tuseme!!!
 
Back
Top Bottom