Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Maelezo yametolewa yakutosha ndo nyie mnaparamia nyuzi juu kwa juu kama vip muulze kaka yako s kajiunga ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nakuona ulivyofura jamaa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wako mkorofi km wa kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kijana mpangaji mwenzangu

Yapata wiki sasa ananiambia Kuna mradi anataka kuufanya ambao ndani ya miaka 5 anajiona atakua bilionea mkubwa sana

Nikashawishika kuujua huo mradi ili na Mimi nije kuwa MO wa 2 akaniambia atanijuza siku mipango ikikamilika ili niende kukutana nae anitajie mradi wenyewe

Leo kaniita nikakutana nae Mara akaja mwenzake akaanza kunipa maelezo mengi yaliyojaa ushawishi na mafanikio mengi ya kuvuna Dola 6200$ kwa mwezi ambayo ni kama million 7 na elfu kadhaa

Akaniambia biashara inahusisha mtandao yani Network marketing au E-commerce kupitia mtandao mkubwa wa QNET

sasa naomba mnijuze kwa wale waliokutana na hii project inakwendaje kwendaje.

Asanteni
N happy Good Friday!
 
Asante mkuu,mi bado sijashawishika na jamaa kanipa maelezo mengi ya kunipambana na kunishawishi kweli kweli nijiunge,ila bado sijaahafikiana nae
Oya Kama una mashamba nenda kalime tu lakini usijaribu huo upuuzi utalia na kusaga meno
 
Good Morning!!!!!
 
Good Morning!!!!!
[emoji23][emoji23]Good morning
Kufika tu napewa hii salamu nikajiuliza saa hivi ni saa 9 alasiri sasa hii Good morning ya nini!!?? Baadae jamaa akanipa ufafanuzi wa hii salamu kwa nini wanaitumia mchana hadi usiku
 
Kuna uzi humu una kila taarifa ila ukishasikia hili "Usimwambie mtu mwingine njoo kwangu nikupe taarifa" tena kwenye dunia hii yenye teknolojia ya 5G! Stuka na kimbia haswa.

Good morning.
 
qnet ni biashara nzuri kama una network kubwa ya watu nimeona watu weng wametajirika sana
 
Usikatishwe kabisa tamaa na watu humu kwa maana wengi hawapendi watu waendelee!
Ingia QNET na hizo pesa utazivuna baada ya mida mfupi sana
Wape hyo mil.5, na ww utapata zaidi ya hiyo! Kila la heri
 
[emoji23][emoji23]Good morning
Kufika tu napewa hii salamu nikajiuliza saa hivi ni saa 9 alasiri sasa hii Good morning ya nini!!?? Baadae jamaa akanipa ufafanuzi wa hii salamu kwa nini wanaitumia mchana hadi usiku
Watu wa ajabu sana kuna mdada kanishawishi siku moja nikaendaa, nilipofka jinsi wanavyoshawishi tu nikajua watanipotezea muda. Ukitoa tu pesa imekula kwako , itabidi uwe mtumwa ili pesa yako irudi. Oo mi nilikua mkurugenzi nikaacha , mara nilikuaa Doctor upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…