MrHd787583
Member
- Apr 28, 2017
- 63
- 40
Hii ni threa mpya.. njoo huku uendelee kujifunza sintofahamu nyingi juu ya hii shu.
Huku sielewi hata thread yangu imehamiaje?
Huku sielewi hata thread yangu imehamiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
QNET: Maelezo kwenye lugha nyepesi zaidi (2)Good morning matapeli [emoji274][emoji2] umeshakamata wa ngapi ? [emoji1][emoji1] mumeacha vilio sana kwenye familia asee
Good morning matapeli [emoji274][emoji2] umeshakamata wa ngapi ? [emoji1][emoji1] mumeacha vilio sana kwenye familia asee
Daah, i feel you nigahMimi nisingeogopa hiyo risk na hasa kwakuwa tayari wife alishalipa hiyo fedha. Tatizo ni huo uchizi aliopata na mpaka kuamua kuharibu family. Na tulionywa mapema. Inaniuma sana. Naogopa hata kubeba silaha kwa ulinzi wangu maana naweza itumia ghafla. Nimejenga family yangu kwa taabu for years, sasa nasty things kama hizi zinakuja kuniharibia.
Acha kutoa siri za mamilionea weweHahahhaaha goodmorning milioneaaaa..leo wameniweza jaman .hebu ngoja niwasome kbl ya kesho kuwaendea🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Hahahhaaha goodmorning milioneaaaa..leo wameniweza jaman .hebu ngoja niwasome kbl ya kesho kuwaendea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Yamenikuta jana..hatarinsanaHahah GOODMORNING MILLIONAIRE/BUSINESS 'PATNA'.
Toa pesa ukileta wenzio wawili utapata mil 4 kwa week na hao wawili wakileta wenzo wawili ushakuwa Millonea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndo ninapoamini Uafrika ni Laanaa...
Alafu nimeitwa na majiran naowaheshimu..eti hadbwameacha kazi kbs jaman..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!leo namaliziwa seminar
On ma way😅!goodmorning Bilionea😅Hahah tunasubiri feedback hapa.
Hahah Goodmorning billionea mwenzetu,tunaomba mrejesho hahah.On ma way[emoji28]!goodmorning Bilionea[emoji28]
Hahah Goodmorning billionea mwenzetu,tunaomba mrejesho hahah.
Hahhhaa bidhaaa ya chini kbs ni 1890$!..kifupi wamenuna..nimesema nikiwa tayar nitawarudia..wakaanza mashushu..oh toka bwana huko mgodini uje ule hela isiyo na jasho[emoji1787]nikwaambia ntamuweka nan atoe 5m kisa hereni au saa???[emoji57][emoji57]!maana bila kiweka mtu umepoteza hela yako
Hahah daah naona umeukimbia ubillionea,hawajakuonyesha watu walioacha kazi TRA na wamekua mabilionea.?hahah
Hahah na viatu vyao vilivyoisha upande huku wamevaa makoti yao ya suti yale ya 'chagulaga',ntakuchangia nusu ya hio pesa ukanunue saa ya 6mil ila sijui utamuuzia nani.Amesema yy ameacha uhasibu dar[emoji1787][emoji1787]!....mm nimechoka sana hizo bei zao..eti saa milion 6..hereni milion 5[emoji1787]