Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hii ni threa mpya.. njoo huku uendelee kujifunza sintofahamu nyingi juu ya hii shu.

Huku sielewi hata thread yangu imehamiaje?
 
Good morning matapeli [emoji274][emoji2] umeshakamata wa ngapi ? [emoji1][emoji1] mumeacha vilio sana kwenye familia asee
 
Mimi nisingeogopa hiyo risk na hasa kwakuwa tayari wife alishalipa hiyo fedha. Tatizo ni huo uchizi aliopata na mpaka kuamua kuharibu family. Na tulionywa mapema. Inaniuma sana. Naogopa hata kubeba silaha kwa ulinzi wangu maana naweza itumia ghafla. Nimejenga family yangu kwa taabu for years, sasa nasty things kama hizi zinakuja kuniharibia.
Daah, i feel you nigah
 
Mods,

Ni muhimu kufanya kitu in order ati wakuu. Sasa hapa mmeunganisha nyuzi karibu zote za Q Net hata zile zenye maudhui tofauti tofauti.

Kwa kifupi mmeyumba hapa, hamtakiwi kusoma headlines tu kufanya maamuzi, muwe mnaelewa exactly ni kitu gani mnaunganisha na m confirm kina make sense
 
Toa pesa ukileta wenzio wawili utapata mil 4 kwa week na hao wawili wakileta wenzo wawili ushakuwa Millonea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa ndo ninapoamini Uafrika ni Laanaa...

Alafu nimeitwa na majiran naowaheshimu..eti hadbwameacha kazi kbs jaman..🤣🤣🤣!leo namaliziwa seminar
 
Hahah Goodmorning billionea mwenzetu,tunaomba mrejesho hahah.

Hahhhaa bidhaaa ya chini kbs ni 1890$!..kifupi wamenuna..nimesema nikiwa tayar nitawarudia..wakaanza mashushu..oh toka bwana huko mgodini uje ule hela isiyo na jasho🤣nikwaambia ntamuweka nan atoe 5m kisa hereni au saa???😏😏!maana bila kiweka mtu umepoteza hela yako
 
Hahhhaa bidhaaa ya chini kbs ni 1890$!..kifupi wamenuna..nimesema nikiwa tayar nitawarudia..wakaanza mashushu..oh toka bwana huko mgodini uje ule hela isiyo na jasho[emoji1787]nikwaambia ntamuweka nan atoe 5m kisa hereni au saa???[emoji57][emoji57]!maana bila kiweka mtu umepoteza hela yako

Hahah daah naona umeukimbia ubillionea,hawajakuonyesha watu walioacha kazi TRA na wamekua mabilionea.?hahah
 
Amesema yy ameacha uhasibu dar[emoji1787][emoji1787]!....mm nimechoka sana hizo bei zao..eti saa milion 6..hereni milion 5[emoji1787]
Hahah na viatu vyao vilivyoisha upande huku wamevaa makoti yao ya suti yale ya 'chagulaga',ntakuchangia nusu ya hio pesa ukanunue saa ya 6mil ila sijui utamuuzia nani.

Next Billionea.
 
Back
Top Bottom