Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Nawasalimu wanajf wote wakubwa na wadogo,Natumaini Ni wazima na mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.

Okay,acha niende moja kwa moja kwenye mada husika .

Kuna Hawa jamaa wanaojiita QNET ,kwa kweli Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa kabisa jinsi mfumo wao wa biashara jinsi ulivyo na njia wanazotumia

Nasema haya kutokana na kwamba mpaka Sasa ninaandika uzi huu ,

Dada yangu ameshajiunga huko kwenye hiyo biashara na huko ametoa kiasi Cha pesa ambacho Ni 4.5 M ,

Sasa swali ninalojiuliza Mimi,mbona mfumo wao wa biashara sijauelewa kabisa maana ,

Dada amejaribu kunielezea lakini sijaelewa hata kitu kimoja kutoka kwenye hiyo biashara zaidi ya harufu ya utapeli tu ambayo ninahisi

Kwa yoyote ambaye anaelewa hiyo biashara,hebu ajaribu kunielewesha Kama Ni biashara halali au Ni utapeli tu watu .

Samahani kwa uandishi mbovu.

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Pole sana mkuu,ila napenda kukuambia tu kwamba hapo tayari ndugu yako ameingizwa town na wajanja.

Ila watu wana pesa za kuchezea, milioni 4 unawapa watu kirahisi tu......
Sema sister nae ameng'ang'ania huko kinoma,nimejaribu kumshauri aachane nao hao watu lakin alikua hata anisikilizi...Daaah!!

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Ndio hivyo tena,mpe pole.
Kuna uzi humu unaelezea Qnet mwanzo mwisho,na kuna shuhuda nyingi sana,utafute umpe ausome, akili yake itakaa sawa.

Kuna siku nilimpigia simu nikamuuliza vp ushajiunga na hao watu akaniambia ndio,dooh nikachoka hapo hapo .nikamuuliza kwa hiyo Sasa wewe watu wa kuwaunga huko utawapata wapi akasema Ni nyie ndugu zangu na marafiki ,weee nikamwambia ishia huko huko.

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Aisee,kuna watu wagumu sana kuelewa.
Kuna siku nilimpigia simu nikamuuliza vp ushajiunga na hao watu akaniambia ndio,dooh nikachoka hapo hapo .nikamuuliza kwa hiyo Sasa wewe watu wa kuwaunga huko utawapata wapi akasema Ni nyie ndugu zangu na marafiki ,weee nikamwambia ishia huko huko.

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Jamiiforum ni kisima cha maarifa,kuna dada mmoja nilisoma naye O-level, alikuwa ananisumbua sana nijiunge na huo utapeli,siku moja nikakopi link ya huo uzi wa kwanza hapo juu nikamtumia asome!,mpaka leo naona kimya sijui alijinyonga sijui mimi.!
 
Back
Top Bottom