Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Pole sana na haya ya good morning.Washaniliza wale kupitia mwanangu, sina hamu nao kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana na haya ya good morning.Washaniliza wale kupitia mwanangu, sina hamu nao kabisa
Nimeshapoa ndugu yangu ndio maisha yalivyoPole sana na haya ya good morning.
Possible. Haya mambo ya ku download pesa magumu sana. Lazima mtu apigweKumekuchaaa kumekuchaaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya kuna mtu kashapigwa nini
Yaani stori zao haziendani na uhalisia. Anayelipwa 7m kwa mwezi ukikuamngalia mpaka mwenyewe unachoka na roho yako.Good Morning! hawa jamaa jumamosi nilienda ofisini kwao baada ya ushawishi mkubwa sana kutoka kwa rafiki yangu, kilichoniokoa siku ile na kuona utapeli mtupu baada ya rafiki yangu kunipa somo kuwa yeye anaingiza almost 7m per month, ilinibidi niombe ruksa ya kwenda kupokea simu kwa ahadi ya kurudi tena niliondoka pasipo ata kuaga.
Si Kahama tu, wapo countrywide. Hata Makambako wana ofisi ya kutapelia mazwazwa wanaopenda ku download pesa.Jamani hawa watu wa QNET wapo kahama muwe makini.
hahahahaaaa, mi walinipeleka K/Samaki karibu na Airport...inaonekana wana vijiwe vingi.Kama upo zanzibar bila ya shaka ulipelekwa maeneo ya kwa mchina mwisho maeneo ya soko la shimoni nimewahi kufika hapo nikachokaka kwa kamba zao Hadi leo hawajaniona tena
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
We jamaa vip? Yani hujashtuka tu? Unawaza kuuza kiduka chako? achana nao hao japo najua kama sumu zao zimekuingia unaweza kuniona kama mchawi wa mafanikio yakoMkuu naomba hayo mambo 10 uliyosema ndio Utapeli wa QNET nipe kwa namba tafadhali mana hapa nilipo nimeshashawishiwa niuze hata kiduka changu ilimrandi nipate ile milioni 5,300,000/= ninunu ile bidhaa., yaani hivi naandika naamini majibu yako ndio yatakayonipa jibu rasmi niuze duka langu nikanunue au niachane na QNET kabisa.
Ndio yaleyale wajinga hawaishi hapa bongo.Mkuu naomba hayo mambo 10 uliyosema ndio Utapeli wa QNET nipe kwa namba tafadhali mana hapa nilipo nimeshashawishiwa niuze hata kiduka changu ilimrandi nipate ile milioni 5,300,000/= ninunu ile bidhaa., yaani hivi naandika naamini majibu yako ndio yatakayonipa jibu rasmi niuze duka langu nikanunue au niachane na QNET kabisa.
Kuna watu bora tushie kukutana nao kwenye mitandao tu maana unaweza mpiga mtu makofi liveNdio yaleyale wajinga hawaishi hapa bongo.
Hiyo pesa kwanini usiende kutanua na mademu, na kunywa bia.
Kuliko kuitoa sadaka kwa hao matapeli mkuu
Kabisa. Ina mana hajasoma maandishi yote toka page ya kwanza mpaka hii ya 34?Kuna watu bora tushie kukutana nao kwenye mitandao tu maana unaweza mpiga mtu makofi live
Utaingizwa mjini, shauri yakoMkuu naomba hayo mambo 10 uliyosema ndio Utapeli wa QNET nipe kwa namba tafadhali mana hapa nilipo nimeshashawishiwa niuze hata kiduka changu ilimrandi nipate ile milioni 5,300,000/= ninunu ile bidhaa., yaani hivi naandika naamini majibu yako ndio yatakayonipa jibu rasmi niuze duka langu nikanunue au niachane na QNET kabisa.
Ukisikia kupigwa miti ndio huko sasa.Mkuu naomba hayo mambo 10 uliyosema ndio Utapeli wa QNET nipe kwa namba tafadhali mana hapa nilipo nimeshashawishiwa niuze hata kiduka changu ilimrandi nipate ile milioni 5,300,000/= ninunu ile bidhaa., yaani hivi naandika naamini majibu yako ndio yatakayonipa jibu rasmi niuze duka langu nikanunue au niachane na QNET kabisa.