Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Umeandika vizuri sana, hoja zote zina mashiko kwa asilimia kubwa.
 
Umetoa ufafanuzi mzuri Sana Mkuu
Eti uishi na mwana mke anaye juwa kabisa analiwa hovyo mitaani eti kisa watoto ,huo ni upumbavu gani aisee?
Alafu mwanamke asiye juwa kulea mwili wake mwenyewe mpaka anaruhusu ugeuzwe sehemu ya kila mwanaume kumwaga uchafu wake atakuwaje mama bora kwa mtoto?
Hao watoto wenyewe unao hatarisha maisha na furaha yako kisa wao wakisha kuwa wanakuona kama mavi na kumpa kipaumbele mama yao.
 
Yaani Kazi huna, pesa huna Sasa We Mwanaume gani? Takataka.

Na bado unataka upewe heshima?

Mtawalaum wanawake bure tu.
Mkuu kwani ww hutomheshimu baba yako kisa hana pesa?
Suala la kupewa heshima ni suala mtambuka sana, mtu huwa ana takiwa kuheshimiwa kutokana mfumo wa kitu anacho kiongoza.
Mafano Samia hana pesa kumzidi Baghareesa au Mo lakini yeye ndo anaheshimika kuliko mtu yeyote ndani ya nchi hii kwa sababu taratibu za nchi zimempa hiyo heshima.
Na samia mwenyewe akienda nyumbani kwake ana jukumu la kumuheshimu mme wake kwa sababu ya utaratibu wa kifamilia kiongozi ni mwanaume.

Mwanaume akisha oa jua huyo ni kiongozi wa huyo mke aliye muoa na hao watoto atakao wazaa ni haki yake kuheshimiwa.
 
You will be fine bro. Nyuma ya haya maandishi yako kuna majuto na kilio. Watu wazima tumeshajua unapitia magumu hivyo JF ni sehemu ya faraja kwako kwa kuandika nyuzi kama hizi. YOU WILL BE FINE.
 
Umeiweka vizuri sana na kila unachowafanyia watoto au unavyowalea ni kama deni, ni lazma ulilipe ama la watoto wageuke kuwa tofauti na barabara uliowachongea.

Na kama tu nilivyosema sehemu nyingine, mama zetu huwa wepesi kusema madhaifu ya baba zetu Ila baba zetu ni ngumu kusema madhaifu ya mama zetu. Matokeo yake watu wengi wanaamini mama zao walikuwa watimilifu na wanaume siku zote ni wakosefu.. Sasa pale wanapokua na, kuujua uhalisia

Wanachanganyikiwa kwa kudhani hayo ni mambo ya mabinti wa siku na wasijue sometimes mama zao walifanya makubwa zaidi ya hayo lakini wazee wao wakastahimili ili familia isitetereke. Huu ndio uhalisia
 
Hata siku moja usikubali kuishi na mwanamke mpumbavu kisa watoto!

Watoto hawawezi kuwa wa mhimu kuzidi WEWE.
Kila mtu aangalie yale anayoweza, kuyastahimili na ikifikia hatua mbaya ndio mambo yavunjike.

Tatizo siku hizi single parenthood ni fashion na watu wanajijali wao kuliko watoto wao ndio maana mambo yanaenda mrama. Kwa sababu kama kila mtu akijali basi huo upumbavu hautotokea kiasi cha kuvunja ndoa
 
Hiyo ni Hekima au Upumbavu?
Ni hekima. Huwezi kuukata mti unaokupa kimvuli kwa sababu haukuzalii matunda..

Kutenda vitu kwa kuangalia mizani ya ubaya na uzuri wake, uzito na wepesi wake ndio hekima. Sio kukurupuka wakati hata wewe kuna madhaifu unavumiliwa
 
Ukweli ni kuwa kwenye jamii wapo wanaume dhaifu na wapo wanaume strong.
Wewe ulichoeleza ni kuonyesha wanaume dhaifu kwa kutoa mifano.
Kwa upande mwingine wapo wanaume strong ambao hicho ulichoelezea hawawezi kukifanya.

Huo ndio ukweli
Huyo jamaa analazimisha watu wote wawe mafala kama yeye.
 
Umeongea ukweli mtupu japo hilo neno 'wanaume dhaifu' naona kama bado umewapendelea sana kwa maana bado kwa kiasi fulani wanaonekana kama wanaume.

Nadhani kulingana na udhaifu wao wanapaswa kuitwa 'mabinti wa kiume' , 'wamama wa kiume' ama 'watoto wa kiume' kulingana na umri wao mtawalia.
 
Mimi ni mwanaume strong sana mpaka ilifikia hatua nilikua namnyima mke wangu tendo la ndoa😭😭
 
Kuna la kujifunza ukiruhusu akili kuwaza kuliko hisia.
 
Acha mambo mengi Dogo.

Dunia bado huijui
 
Mimi ni mwanaume strong sana mpaka ilifikia hatua nilikua namnyima mke wangu tendo la ndoa😭😭

Ulimnyima HAKI yake
You will be fine bro. Nyuma ya haya maandishi yako kuna majuto na kilio. Watu wazima tumeshajua unapitia magumu hivyo JF ni sehemu ya faraja kwako kwa kuandika nyuzi kama hizi. YOU WILL BE FINE.

Watibeli ni watenda Haki, kweli, wenye upendo na akili. Hawanaga majuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…